Hawa jamaa pia ktk fujo za mitaan zkzd wakiletwa hao balaa
Mkuu nimerudi,tembelea jukwaa la inteligence utanionaMkuu Maishapopote tunasubiri ujio wako sasa na jipya jingine tuweze elimika vizuri.
and now you know nigger!Duh. Nlikuwa sijui aisee
Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
hahahaha,Mkuu Mimi si mtu wa siasa na sitarajii kuwa mwanasiasa,maana kuwa mwanasiasa ni hatari kuliko jasusi,ukiwa jasusi ukikosea adhabu yake unapewa wewe mwenyewe,lakini ukiwa mwanasiasa ukikosea wanachi wote nchi nzima wanaadhibiwa,adhabu kalimkuu maishapopote au na ww mjumbe nn kwenye bunge la katiba??
upo bize unakimbizana na posho?? maana twakusubili huku na vibando vyetu mkuu
Mkuu ni mfumo tu wa Jeshi la magereza lakini hawakustahiliSasa kwanini wanalipwa mshara mdogo kwa kazi ngumu wanayofanya????
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Mkuu tuome mods waipitishe kuna article nyingine nzuri inakujaMkuu hao KM kweli ni balaa
Leo ishafika, tukusuburi uendlee na hizi articles nzuri
poa mkuu,tembelea hapa leo jioni mods wanaweza kuwa wameiruhusu kuna nyingine mpyaAsante kwa shule mkuu, tunasuhiri vitengo vingine.!
Mtena,huitaji kuwa mwanainteligencia kujua inteligence,read between the lines brother.....hizi sio classified information ni kama kukuambia kuna kitengo cha cybercrime katika jeshi la Polisi (najua hutaamini ila kipo na wanatumia computer na gadget na nini hv..) je n kosa? Jiongeze broAnatoa elimu nzur sana ambyo huwez ipata popote ila nashndwa kuelewa taarfa za kiinteligencia anazpata wap na kuwa na uwezo wa kuzisema hadharan hv
and now you know nigger!
Mkuu, naona mods mpaka saa hizi wameizuia sijui kama wataiachia tusubiri...Tunasubiri kwa hamu hito article ya pili.Mods ruhusu mambo