Je unajua siri hii kuhusu mafanikio

Je unajua siri hii kuhusu mafanikio

andazi

Member
Joined
Jun 7, 2025
Posts
47
Reaction score
209
Siri ya mafanikio yako ni maamuzi tu basi usidanganywe sijui connection. Sijui freemason sijui nini. Hayo yote yanatokea baada ya kuchukua maamuzi tu. Wewe jaribu kuchukua maamuzi kwa kile unachokifikiria katika kichwa chako uone kama hizo connection na mengine hayotokufuata yenyewe.

Asanteni sana usiogope kuchukuwa maamuzi ya kutekeleza kile unachokifikiria katika kichwa chako.​
 
Siri ya mafanikio yako ni maamuzi tu basi usidanganywe sijui connexion
Sijui freemason sijui nini
Hayo yote yanatokea baada ya kuchukuwa maamuzi tu
Wewe jaribu kuchukuwa maamuzi kwa kile unachokifikiria katika kichwa chako
Uone kama hizo connexion na mengine hayotokufuata yenyewe

Asanteni sana usiogope kuchukuwa maamuzi ya kutekeleza kile unachokifikiria katika kichwa chako
Salute 🫡
 
Mimi nilishafanya maamuzi mengi magumu ila nimeangukia pua

Asaivi sijui hata nifanye MAAMUZI Gani mana maisha ni magumu
Usikate tamaa mkuu kuna wakati unapitia huko kuanguka ili kukunoa ili ufikie malengo yako, ni vyema sana ukajipa moyo na kuweka utulivu wa kimawazo,kiimani na utendaji wako ili usiporomoke tena. Usikate tamaa kabisa mwombe sana Mungu atakuonyesha njia iliyo bora ktk hitaji lako.
 
Siri ya mafanikio yako ni maamuzi tu basi usidanganywe sijui connexion
Sijui freemason sijui nini
Hayo yote yanatokea baada ya kuchukuwa maamuzi tu
Wewe jaribu kuchukuwa maamuzi kwa kile unachokifikiria katika kichwa chako
Uone kama hizo connexion na mengine hayotokufuata yenyewe

Asanteni sana usiogope kuchukuwa maamuzi ya kutekeleza kile unachokifikiria katika kichwa chako
UTHUBUTU.
 
Wwe ni Andazi
 
Back
Top Bottom