Je, unajua maana halisi ya Electoral College inayotumika kuchagua Rais Marekani? Jifunze

Stan9029

Member
Sep 20, 2016
56
45
Napata shida kufanya tathmini kwamba Hillary Clinton alishinda majority votes kwa tofauti ya kura zaidi ya laki moja, lakini swala la electoral votes yenye idadi ya 270 votes bado sijaelewa vizuri na nina hakika Watanzania wengi hawafahamu zaidi ya kushabikia tu.

Sisi tusioelewa lakini mashabiki wa siasa tunahitaji msaada hapa na tuone application ya hii electoral votes kama ingetokea Tanzania, naambiwa Magufuli angekuwa kama Hillary.

JIBU

Maana Halisi ya Electoral Votes

Ni hivi Mkuu;

Uchaguzi wa marekani una kitu wanaita Electoral Collage, hii ni ile 'mechanism' ya kumtambua/kumchagua mgombea urais ambaye anakuwa ameshinda kwa kuzingatia jimbo kwa jimbo!

Sasa iko vipi? Wamarekani wanapokuwa wanapiga kura ni kwamba wanakuwa wanapiga kura kuchagua watu wanawaita 'electors'! Hawa electors ndio wanaopiga kwa niaba ya jimbo lao. Sasa vyama vyote viwili wanakuwa na electors ambao wanachagulia siku ya convention ya kumpitisha mgombea wa chama au wakati wa Primaries.

Kwa hiyo wamarekani wanapopiga kura kwenye jimbo tuseme kwa mfano California na ikaonekana Trump ameshinda California kwa hiyo ina maana kuwa electors wa Republican ndio pekee watakaopiga kura kwa niaba ya California na hii inamaanisha kuwa kura zote (electoral collage) za urais kwa jimbo la California zitaenda kwa Trump.

Na kwa nyongeza tu kwamba majimbo yote ya Marekani ukiacha jimbo la Nebraska na Maine wanatumia mfumo wa aliyepata kura nyingi za wananchi anapewa electors/electoral Collage wote (Winner takes all).

Ingawa kuna jambo moja la msingi la kulifahamu ni kwamba hawa electors hawabanwi na Katiba kumchagua mtu wa chama chake. Anaweza kumchagua mgombea yeyote but kinachowabana ni kwamba kipindi anachaguliwa kama elector anatakiwa aweke 'pledge' kuwa atamchagua mgombea wa chama chake.

Ni hivi Mkuu;

Uchaguzi wa marekani una kitu wanaita Electoral Collage, hii ni ile 'mechanism' ya kumtambua/kumchagua mgombea urais ambaye anakuwa ameshinda kwa kuzingatia jimbo kwa jimbo!

Sasa iko vipi?? Wamarekani wanapokuwa wanapiga kura ni kwamba wanakuwa wanapiga kura kuchagua watu wanawaita 'electors'! Hawa electors ndio wanaopiga kwa niaba ya jimbo lao.. Sasa vyama vyote viwili wanakuwa na electors ambao wanachagulia siku ya convention ya kumpitisha mgombea wa chama au wakati wa Primaries.

Kwahiyo wamarekani wanapopiga kura kwenye jimbo tuseme kwa mfano California na ikaonekana Trump ameshinda California kwahiyo ina maana kuwa electors wa republican ndio pekee watakaopiga kura kwa niaba ya California na hii inamaanisha kuwa kura zote (electoral collage) za urais kwa jimbo la California zitaenda kwa Trump.

Na kwa nyongeza tu kwamba majimbo yote ya marekani ukiacha jimbo la Nebraska na Maine wanatumia mfumi wa aliyepata kura nyingi za wananchi anapewa electors/electoral Collage wote (Winner takes all).

Ingawa kuna jambo moja la msingi la kulifahamu ni kwamba hawa electors hawabanwi na katiba kumchagua mtu wa chama chake. Anaweza kumchagua mgombea yeyote but kinachowabana ni kwamba kipindi anachagulia kama elector anatakiwa aweke 'pledge' kuwa atamchagua mgombea wa chama chake.!
 
Asante sana MKUU kwa ufafanuzi.
 
Hongere sana kaka binafsi nimekuelewa sana na nimegundua sikuwa mbali sana na ulichikieleza na namna nilivyosoma google.
 
Napata shida kufanya tathmin kwamba Hilary Clinton alishinda majority votes kwa tofauti ya kula zaidi ya laki moja, lakin swala la electoral votes yenye idadi ya 270 votes bado sijaelewa vizuri na ninahakika watanzania wengivhawafaham zaidi ya kushabikia tu.
Sisi ****** lakin mashabiki wa siasa tunahtaj msaada hapa na tuone application ya hii electoral votes kama ingetokea tz, naambiwa Magu angekua kama Hilary.
mkuu apoo umeniacha kidogo, ukiwa na majority votes za kutosha katika jimbo si unapata nafasi ya kushinda hilo jimbo hence electers wa chama husika ndio wanapiga kura kwa jimbo husika hii ingepelekea ushind kwa clinton
 
Uchaguzi wa marekani ni wa kihuni sana, iweje kura hazitangazwi? Kwanini hakuna waangalizi wa kimataifa? Marekani inawatu 400m halafu tuambiwe kura 270 tu, hata uchaguzi wa kumchagua lipumba cuf hauko hivyo.
 
Wanasema USA ni nchi iliyoungana na nchi 50 ambazo ndo zinaitwa state.So walitafakari kuwa kuna state nyingine ni ndogo hivyo wao watakuwa wanachaguliwa "UONGOZI" miaka yote hivyo hiyo EV ina-balance hayo,kwa jinsi nilivyoelewa lakini.
 
Ni hivi Mkuu;

Uchaguzi wa marekani una kitu wanaita Electoral Collage, hii ni ile 'mechanism' ya kumtambua/kumchagua mgombea urais ambaye anakuwa ameshinda kwa kuzingatia jimbo kwa jimbo!

Sasa iko vipi?? Wamarekani wanapokuwa wanapiga kura ni kwamba wanakuwa wanapiga kura kuchagua watu wanawaita 'electors'! Hawa electors ndio wanaopiga kwa niaba ya jimbo lao.. Sasa vyama vyote viwili wanakuwa na electors ambao wanachagulia siku ya convention ya kumpitisha mgombea wa chama au wakati wa Primaries.

Kwahiyo wamarekani wanapopiga kura kwenye jimbo tuseme kwa mfano California na ikaonekana Trump ameshinda California kwahiyo ina maana kuwa electors wa republican ndio pekee watakaopiga kura kwa niaba ya California na hii inamaanisha kuwa kura zote (electoral collage) za urais kwa jimbo la California zitaenda kwa Trump.

Na kwa nyongeza tu kwamba majimbo yote ya marekani ukiacha jimbo la Nebraska na Maine wanatumia mfumi wa aliyepata kura nyingi za wananchi anapewa electors/electoral Collage wote (Winner takes all).

Ingawa kuna jambo moja la msingi la kulifahamu ni kwamba hawa electors hawabanwi na katiba kumchagua mtu wa chama chake. Anaweza kumchagua mgombea yeyote but kinachowabana ni kwamba kipindi anachagulia kama elector anatakiwa aweke 'pledge' kuwa atamchagua mgombea wa chama chake.!
Kwa mim naona si nzur ina upungufu wake..

Ila kama wao wamekubaliana na inatumika miaka nenda rudi basi sawa
 
Mmmh!!! Nimekuelewa mkuu ila
 
Kwa mim naona si nzur ina upungufu wake..

Ila kama wao wamekubaliana na inatumika miaka nenda rudi basi sawa

Mkuu ni sawa lakini mie nilielewa tofauti kidogo na wewe ni kwamba electoral college votes ni zile kura ambazo kila jimbo linapewa kutokana na wawakilishi wake mfano Dar ina majimbo kumi manake ina kura kumi Mwanza labda ina kumi na mbili manake kura kumi na mbili na hii haijali kama Dar ina wengi kuliko,Mwanza na kinachofanyika sio wawakilishi wanapiga kura huwa ni kwamba ukishinda labda Dar basi kumi zote ni zako sio wawakilishi wanapiga kura
 
Uchaguzi wa marekani ni wa kihuni sana, iweje kura hazitangazwi? Kwanini hakuna waangalizi wa kimataifa? Marekani inawatu 400m halafu tuambiwe kura 270 tu, hata uchaguzi wa kumchagua lipumba cuf hauko hivyo.
n'jomba hebu tulia kwanza uyaelewe haya mambo vizuri siyo kuropoka tu
 
Pamoja na uzuri wa Mfumo huu bado una mapungufu yake mfano majimbo kupewa hadhi tofauti tofauti na huo utofauti upo constant Miaka na Miaka Mf Carlifornia Wana vote 55 wakat kuna majimbo yana mpaka kufikia Electrote watatu
Calfonia inastahili kulingana na idadi ya watu na nguvu yake kiuchumi.Hillary alishinda kwenye majimbo yenye wajumbe wachache hivyo anakuwa na kura nyingi za watu mmoja mmoja lakini wajumbe wachache ndo maana HC anashindwa.Hata Bush alimpiga All Gore hivyo hivyo hasa baada ya kushinda Florida yenye wajumbe 29.
 
The bold umeeleza vizuri na kwa kuongezea tu ni kwamba sio kila jimbo lina idadi sawa ya wajumbe bali kuna jinsi walivyopanga wao. Nasikia California ndio ina wajumbe wengi. Hii kitu inaleta utata kwa demokrasia kama zetu na wengine kufikia hatua ya kuona kuwa hakuna haja ya hizi kura za 'popular vote' maana hata mkimchagua mtu hawezi kupita mpaka hizi za wajumbe!
Kupanuana akili zaidi katika hili, mwanzoni nilidhani kwamba ile idadi ya wajumbe wa elector collage wanagawana kwa percentage ya kura za popular vote lakini mkuu kaeleza vizuri.
 
Back
Top Bottom