Je, unajua maana halisi ya Electoral College inayotumika kuchagua Rais Marekani? Jifunze

Uchaguzi wa marekani ni wa kihuni sana, iweje kura hazitangazwi? Kwanini hakuna waangalizi wa kimataifa? Marekani inawatu 400m halafu tuambiwe kura 270 tu, hata uchaguzi wa kumchagua lipumba cuf hauko hivyo.
Wa kihuni kwa sababu huujui.
 
Kwa maana hiyo ingekuwa ndio huku Tanzania mfano jiji la Dar amabalo ukawa waliongoza Magufuli angehesabika amepoteza jimbo.

Maana hiyo idadi ya madiwani wa ukawa ingekuwa ndio kura zao halisi kuelekea kuchukua nchi.

Hii iko poa sana, kwa maana hiyo kanda ya ziwa ukawa wasingepata hata kura moja.!
 
Mfumo wenye mapungufu unatakiwa uviathiri Vyama vyote na si chama kimoja. Kama wapiga kura ambao ndiyo wenye nchi hawaridhiki na mfumo huo ni lazima ufanyiwe marekebisho vinginevyo ndiyo wale wasioridhika na mfumo husika huingia mtaani na matokeo yake yanaweza kabisa kuwa umwagaji damu.

mfumo wowote una mapungufu yake, hata huo wa mwenye kura nyingi anabeba kiti nao unamatatizo yake na ndo maana trump huyuhuyu kawagalagaza akina rubio, bush, cruz kwenye mchujo ndani ya chama
 
Ni hivi Mkuu;

Uchaguzi wa marekani una kitu wanaita Electoral Collage, hii ni ile 'mechanism' ya kumtambua/kumchagua mgombea urais ambaye anakuwa ameshinda kwa kuzingatia jimbo kwa jimbo!

Sasa iko vipi?? Wamarekani wanapokuwa wanapiga kura ni kwamba wanakuwa wanapiga kura kuchagua watu wanawaita 'electors'! Hawa electors ndio wanaopiga kwa niaba ya jimbo lao.. Sasa vyama vyote viwili wanakuwa na electors ambao wanachagulia siku ya convention ya kumpitisha mgombea wa chama au wakati wa Primaries.

Kwahiyo wamarekani wanapopiga kura kwenye jimbo tuseme kwa mfano California na ikaonekana Trump ameshinda California kwahiyo ina maana kuwa electors wa republican ndio pekee watakaopiga kura kwa niaba ya California na hii inamaanisha kuwa kura zote (electoral collage) za urais kwa jimbo la California zitaenda kwa Trump.

Na kwa nyongeza tu kwamba majimbo yote ya marekani ukiacha jimbo la Nebraska na Maine wanatumia mfumi wa aliyepata kura nyingi za wananchi anapewa electors/electoral Collage wote (Winner takes all).

Ingawa kuna jambo moja la msingi la kulifahamu ni kwamba hawa electors hawabanwi na katiba kumchagua mtu wa chama chake. Anaweza kumchagua mgombea yeyote but kinachowabana ni kwamba kipindi anachagulia kama elector anatakiwa aweke 'pledge' kuwa atamchagua mgombea wa chama chake.!

Hujafafanua vizuri...kwanini jimbo moja, kwa mfano., liwe na electoral votes 55 na jingine 8 au 3 tu??? Fafanua pia hawa electors wanakutana (kama kweli wanakutana) muda gani kumchagua Rais???
 
Mfumo wenye mapungufu unatakiwa uviathiri Vyama vyote na si chama kimoja. Kama wapiga kura ambao ndiyo wenye nchi hawaridhiki na mfumo huo ni lazima ufanyiwe marekebisho vinginevyo ndiyo wale wasioridhika na mfumo husika huingia mtaani na matokeo yake yanaweza kabisa kuwa umwagaji damu.

labda useme mfumo unaovibeba vyama viwili republicans&democrats hapo ndo utakuwa na point kidogo make ndo vyama vilivyoshinda sana kwa mfumo huo, lakina kusema unabeba republicans tu huku democrats wanashinda mara kibao tu dhidi walewale unaosema wanabebwa na mfumo! hayo ni mahaba yako kwa democrats na clinton, lakin mngeshinda kwa mfumo huu hata msingeandamana.

wapiga kura hawaridhiki? huwezi kuridhisha watu wote
 
Ni hivi Mkuu;

Uchaguzi wa marekani una kitu wanaita Electoral Collage, hii ni ile 'mechanism' ya kumtambua/kumchagua mgombea urais ambaye anakuwa ameshinda kwa kuzingatia jimbo kwa jimbo!

Sasa iko vipi?? Wamarekani wanapokuwa wanapiga kura ni kwamba wanakuwa wanapiga kura kuchagua watu wanawaita 'electors'! Hawa electors ndio wanaopiga kwa niaba ya jimbo lao.. Sasa vyama vyote viwili wanakuwa na electors ambao wanachagulia siku ya convention ya kumpitisha mgombea wa chama au wakati wa Primaries.

Kwahiyo wamarekani wanapopiga kura kwenye jimbo tuseme kwa mfano California na ikaonekana Trump ameshinda California kwahiyo ina maana kuwa electors wa republican ndio pekee watakaopiga kura kwa niaba ya California na hii inamaanisha kuwa kura zote (electoral collage) za urais kwa jimbo la California zitaenda kwa Trump.

Na kwa nyongeza tu kwamba majimbo yote ya marekani ukiacha jimbo la Nebraska na Maine wanatumia mfumi wa aliyepata kura nyingi za wananchi anapewa electors/electoral Collage wote (Winner takes all).

Ingawa kuna jambo moja la msingi la kulifahamu ni kwamba hawa electors hawabanwi na katiba kumchagua mtu wa chama chake. Anaweza kumchagua mgombea yeyote but kinachowabana ni kwamba kipindi anachagulia kama elector anatakiwa aweke 'pledge' kuwa atamchagua mgombea wa chama chake.!
Kuna mtu nilimpa haya maelezo hakunielewa kabisa...
 
Mbona hata nyumani tunatumia huu mfumo, kuna popular votes na polic**college votes sasa inafuatana kwamba mgombea gani anapendwa na polic** college votes.
 
Hili lilitokea mwaka huu linaweza kabisa kutokea 2020, 2024 na 2028 na wanufaika miaka yote hiyo watakuwa ni republicans. Kama wananchi hawaridhiki na Republicans ambao ndiyo wanufaika wagomee kubadili huu mfumo basi wananchi hawana jinsi bali kuingia mtaani.

Weusi walikuwa hawaruhusiwi kupiga kura, wanawake walikuwa hawaruhusiwi kupiga kura wote hawa wakashinikiza Serikali za awamu mbalimbali mpaka mfumo ukabadilishwa. Hivyo hili nalo hakuna jinsi kama malalamiko yatazidi katika chaguzi zijazo wananchi watataka mtu mmoja kura moja na anayepata idadi kubwa ya kura hata kama ni kura 100 huyo ndiye mshindi.

labda useme mfumo unaovibeba vyama viwili republicans&democrats hapo ndo utakuwa na point kidogo make ndo vyama vilivyoshinda sana kwa mfumo huo, lakina kusema unabeba republicans tu huku democrats wanashinda mara kibao tu dhidi walewale unaosema wanabebwa na mfumo! hayo ni mahaba yako kwa democrats na clinton, lakin mngeshinda kwa mfumo huu hata msingeandamana.

wapiga kura hawaridhiki? huwezi kuridhisha watu wote
 
Hili lilitokea mwaka huu linaweza kabisa kutokea 2020, 2024 na 2028 na wanufaika miaka yote hiyo watakuwa ni republicans. Kama wananchi hawaridhiki na Republicans ambao ndiyo wanufaika wagomee kubadili huu mfumo basi wananchi hawana jinsi.

Weusi walikuwa hawaruhusiwi kupiga kura, wanawake walikuwa hawaruhusiwi kupiga kura wote hawa wakashinikiza Serikali za awamu mbalimbali mpaka mfumo ukabadilishwa. Hivyo hili nalo hakuna jinsi kama malalamiko yatazidi katika chaguzi zijazo wananchi watataka mtu mmoja kura moja na anayepata idadi kubwa ya kura hata kama ni kura 100 huyo ndiye mshindi.

wale hawafuati wananchi bali wanafuata katiba, nyie si mmezoea kukanyaga katiba! mbona waingereza na ujanja wao wote wana mfumo wa kutawaliwa na ukoo mmoja! unafikiri haufai? unafaa sana na ndo maana upo lakin wachache wa kukosoa hawakosi. huo wa US ni mfumo bora mno kuliko yote duniani na ndo maana marekani ndo super power wa dunia na nchi yenye ushawishi zaidi duniani. we unafikiri hayo yamekuja tu! hapana bali kwa sababu ya mifumo mizuri na imara ambayo huleta viongozi mathubuti. sasa hao wenye mifumo unayoiita mizuri ya uchaguzi wanaizidi nini US yenye mfumo unaouita mbovu? sema
 
  • Thanks
Reactions: 7ve
Wafute tu hiyo electoral college walete majority voting tu. Japo sielewi sana hapa ni kama viti vya ubunge na wanataka uwe navyo vingi ili uweze kufanya maamuzi kupitia mikutano yao kama ilivyo kwa bunge letu. Imagine kama CCM wangekuwa na say viti 100 halafu upinzani ni 200 unaona wazi kuwa Rais asingefanikiwa kabisa katika utawala wake.
 
Napata shida kufanya tathmini kwamba Hillary Clinton alishinda majority votes kwa tofauti ya kura zaidi ya laki moja, lakini swala la electoral votes yenye idadi ya 270 votes bado sijaelewa vizuri na nina hakika Watanzania wengi hawafahamu zaidi ya kushabikia tu.

Sisi tusioelewa lakini mashabiki wa siasa tunahitaji msaada hapa na tuone application ya hii electoral votes kama ingetokea Tanzania, naambiwa Magufuli angekuwa kama Hillary.

JIBU

Maana Halisi ya Electoral Votes

Safi sana mkuu, ila nataka kujua je hao electors kwenye haya majimbo huwa wanakuwa idadi sawa kwa vyama vyote au!? Na vipi kuhusu hayo majimbo uliyoyatenga hapo yanatumia utaratibu gani na ni kwa nini!?
 
Au huko katika majimbo walishindwa Democrat kuweka watu ambao wako strong enough kupata kura za wamerekani. Itabidi niingie google nijifunza haya mambo kwa hakika maana kwa marekani watu wameumia sana kwa ushindi huu
 
Ni hivi Mkuu;

Uchaguzi wa marekani una kitu wanaita Electoral Collage, hii ni ile 'mechanism' ya kumtambua/kumchagua mgombea urais ambaye anakuwa ameshinda kwa kuzingatia jimbo kwa jimbo!

Sasa iko vipi?? Wamarekani wanapokuwa wanapiga kura ni kwamba wanakuwa wanapiga kura kuchagua watu wanawaita 'electors'! Hawa electors ndio wanaopiga kwa niaba ya jimbo lao.. Sasa vyama vyote viwili wanakuwa na electors ambao wanachagulia siku ya convention ya kumpitisha mgombea wa chama au wakati wa Primaries.

Kwahiyo wamarekani wanapopiga kura kwenye jimbo tuseme kwa mfano California na ikaonekana Trump ameshinda California kwahiyo ina maana kuwa electors wa republican ndio pekee watakaopiga kura kwa niaba ya California na hii inamaanisha kuwa kura zote (electoral collage) za urais kwa jimbo la California zitaenda kwa Trump.

Na kwa nyongeza tu kwamba majimbo yote ya marekani ukiacha jimbo la Nebraska na Maine wanatumia mfumi wa aliyepata kura nyingi za wananchi anapewa electors/electoral Collage wote (Winner takes all).

Ingawa kuna jambo moja la msingi la kulifahamu ni kwamba hawa electors hawabanwi na katiba kumchagua mtu wa chama chake. Anaweza kumchagua mgombea yeyote but kinachowabana ni kwamba kipindi anachagulia kama elector anatakiwa aweke 'pledge' kuwa atamchagua mgombea wa chama chake.!

Imetoholewa hapa;

How does the electoral college work?
All 50 US states and Washington DC have a set number of "electors" in the electoral college – roughly proportionate to the size of each state.

California, the largest state, has 55 electoral votes, while sparsely-populated Wyoming and tiny Washington DC only get only three each.

There are 538 electors and to win a majority and become president either candidate needs to accumulate 270 electors – half the total plus one.

Americans technically vote for electors, not the candidates themselves. The electors are state officials or senior party figures, but they are not usually named on the ballot.

The number of electors each state gets is also equal to the number of seats it has in the House of Representatives and the Senate.

All but two states – Maine and Nebraska – use a winner
Source How does the US election work and which swing states will determine the winner?
 
Nikisoma kwa kina kupitia google na maelezo ya hawa watu wenye akili nacompare na bongo, if we could have this system of electoral votes my president could be Lowasaa.
This research is based on reality of electoral votes as compared to publi-votes
 
Katiba si msahafu kusema binadamu hawezi kubadili maandiko yaliyomo ndani ya katiba. Kama wananchi hawaridhiki na katiba yao basi wana haki zote za kutaka katiba hiyo ibadilishwe na hili la kubadili katiba limeshafanyika nchi nyingi na Marekani pia wanaweza kubadili katiba yao ili kukidhi matakwa ya wenye katiba ambao ni wananchi wa Marekani. Hiyo ndiyo demokrasi inavyotakiwa na wanaweza kufanya hata referendum na watakaoshinda kwenye hiyo referendum matakwa yao ndiyo yatatumika ama kubadili katiba au la.

Hiyo ya kudai US wana mfumo bora mno ni opinion yako. Baadhi ya Wamarekani wanaona kuna kasoro katika huo mfumo na hivyo kutaka urekebishwe tofauti na unavyodai wewe kwamba ni mfumo bora mno. Na hili lilitokea mwaka huu likitokea miaka ijayo basi sauti za mabadiliko zitazidi kuongezeka.

Back
Top Bottom