Watanzania kwa mara nyingine tena kwa uwingi wa makampuni ya simu Tanzania , wizi wote walio tufanyia hadi sasa wanazidi kutuibia .Mimi kuanzia July 1 nimegundua kwamba gharama ziko juu kiasi Bungeni kodi yao kwa TCRA wameongeza kodi nao wameamua kutuumiza .Je tuandamane au serikali itaenda Mahakamani