Je unajua binadamu ana level ya ufahamu au dimension kuusu Mungu, upo level gani ? soma hapa

Je unajua binadamu ana level ya ufahamu au dimension kuusu Mungu, upo level gani ? soma hapa

Wakusolve

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2020
Posts
427
Reaction score
573
Dimension nini, ni uwezo au ufahamu wa binadamu kuusu Mungu.Binadamu tuna level fulani ya ufahamu kuusu Mungu.Ufahamu wa juu wa binadamu mara nyingi unatokea pale mtu anapopitia greater loss(Kupoteza au Changamoto ngumu za kimaisha)

Dimension hizo ni
-3D
-4D
-5D

3D(dimension)
Hii ni level ambayo binadamu wengi wanaishi , level hii binadamu anatumia nguvu kubwa kupata pesa, umaarufu, heshima ni level ambayo inahusu sana vitu material au binadamu anakuwa na ego kama hofu, stress, mashindano, validation

(Mungu) anakuwa outside hii maana yake nini , Mtu anamtafuta Mungu kupitia nyumba za ibada mfano kanisani

5D(dimension)
hii ni dimension ambayo mtu anakuwa haishi kutokana materials au ego inakufa kabisa, stage hii mtu anakuwa na amani ya moyo, joy, moyo wenye upendo , anaongozwa na divine power (holy spirit) hii inapelekea kuwa mtu ambaye hana chuki(kuwa mtu wa kusamehe)

(Mungu) au universe anakuwa inside,Hii maana yake nini, Mtu anaongozwa na roho wa bwana hivyo hana aja ya mtu kumfunulia neno la Mungu anapata uwezo kutoka holy spirit(roho wa bwana) , Hii mtu yupo karibu sana na Mungu.
 
Level niliyopo Mimi naona tulidanganywa sana na waarabu na wazungu na hadithi zao za kwenye biblia na Quran! Walipaswa kutueleza ukweli kuhusu hiyo nguvu ya asili (Mungu)
Level niliyopo Mimi naona tulidanganywa sana na waarabu na wazungu na hadithi zao za kwenye biblia na Quran! Walipaswa kutueleza ukweli kuhusu hiyo nguvu ya asili (Mungu)
Soma kuna uzi nilianzisha wa spirtual awekening unaweza pata ufahamu, pia Mungu anajifunua mwenyewe kwenye maisha yako, Mtafute atakuonesha uwepo wake kwenye maisha yako
 
Level niliyopo Mimi naona tulidanganywa sana na waarabu na wazungu na hadithi zao za kwenye biblia na Quran! Walipaswa kutueleza ukweli kuhusu hiyo nguvu ya asili (Mungu)
Una akili sna
 
Soma kuna uzi nilianzisha wa spirtual awekening unaweza pata ufahamu, pia Mungu anajifunua mwenyewe kwenye maisha yako, Mtafute atakuonesha uwepo wake kwenye maisha yako
Sijasema Mungu hayupo,naamini Mungu yupo lakini Sio kwa namna ya Quran na biblia!
 
Back
Top Bottom