Je unaijua tabia yako?

Je unaijua tabia yako?

Dah... Kumbe nina tabia nzuri eeh! Nikiwa chumbani kwangu kuna vitu huwa navifanya karibu kila siku na hunifanya nikawie kulala

Asante kwa hii mada!
 
Hadi nikae chumbani nijichunguze ili iweje, yaani wewe hapo ulipo hujui tabia yako hasa ni ipi?

Ni rahisi sana kuchunguza tabia za wengine na ukatoa maoni yako juu ya jinsi uwaonavyo, si mara nyingi mtu kujishughulisha kujijua binafsi ana tabia gani hasa upande wa mahusiano.

Nimeona leo niweke kile ninachokiona
Ukitaka kuijua tabia yako uwe ke au me jiangalie unapokuwa peke yako chumbani au sebuleni kile unachopenda kukifanya mwenyewe, hiyo ndo tabia yako halisi mengine ni maigizo.

Anza leo kujichunguza na kisha lete mrejesho
Kazi njema.

 
Kwahali hii basi wanawake tunatabia nyingi..maana tukiwa jikoni mawazo ni tofauti na tukiwa chumbani..jikoni tutawaza namna ya kupika ..bafuni tutauwaza usafi wa mwili, chumbani pia tukiwa kitandani mawazo ni tofauti na tukiwa kwenye dressing table...
 
Mkuu unajaribu kuongea kitu kikubwa mno. Ebu tuanze kwenye maana kwanza then ndio tutarukie unapotaka kutupeleka..

Tabia ni sifa ambayo hua nayo mtu mmoja mmoja inaweza kutokana na jamii (mazoea, mila na desturi) au kurithi (kibailojia), tabia pia ipo katika matabaka ya kama kijiographia na saikoloji.... Hivyo huelezewa kama kitu kinachofundishika.

Tafuta eneo moja utusaidie wengi bongo zimejipinda.
Mkuu 1st AID waswahili nao walisema mazoea hujenga tabia,kuna tabia mbaya ambazo watu wasingependa wajulikane wanazo pia kuna tabia nzuri ambazo kila mtu angependa zijulikane kuwa anazo kwani zinamjengea sifa na heshima
na hapa ieleweke kuwa kuna tofauti kati ya tabia na sifa kwani tabia inaweza kukuletea sifa bali sifa haiwezi kukuletea tabia.Katika uzi wangu nataka nijikite zaidi kwenye zile tabia ambazo tusingependa watu wajue kuwa tunazo,
na mara nyingi hizo tabia utajikuta unapenda au zinajidhihirisha pale unapokuwa peke yako,ndo maana nikasema ukitaka kujichunguza tabia yako hasa ile mbaya chunguza ni mambo gani unapenda kuyafanya sirini yaani peke yako,hii itakusaidia kujirekebisha na kupenda zile zinazokujengea sifa njema.
 
Last edited by a moderator:
kama chizi ndio style gani uchi au ??
Na hapa ndo somo langu linapojikita ,fikiri MankaM anapokuwa anacheza kama chizi,itokee mtu mwingine aingie chumbani kwake ghafla je ataendelea? Kiukweli kuna vitu vingine unawezafanya ukiwa peke yako afu ukajicheka mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Nikiwa mwenyew chumbn naangalia muv n chatn, ndiy tabia yangu mkuu😕
Sasa chunguza kama hizo movie unaweza kuangalia na wageni wako sebureni.Ukikuta jibu ni ndiyo basi jua hiyo ni tabia njema.
 
Na hapa ndo somo langu linapojikita ,fikiri MankaM anapokuwa anacheza kama chizi,itokee mtu mwingine aingie chumbani kwake ghafla je ataendelea? Kiukweli kuna vitu vingine unawezafanya ukiwa peke yako afu ukajicheka mwenyewe.

Mimi nikiwa peke yangu nahisi kusoma
 
Last edited by a moderator:
Na hapa ndo somo langu linapojikita ,fikiri MankaM anapokuwa anacheza kama chizi,itokee mtu mwingine aingie chumbani kwake ghafla je ataendelea? Kiukweli kuna vitu vingine unawezafanya ukiwa peke yako afu ukajicheka mwenyewe.

hahahahahaaaaa ni shidaa
 
Last edited by a moderator:
Kwahali hii basi wanawake tunatabia nyingi..maana tukiwa jikoni mawazo ni tofauti na tukiwa chumbani..jikoni tutawaza namna ya kupika ..bafuni tutauwaza usafi wa mwili, chumbani pia tukiwa kitandani mawazo ni tofauti na tukiwa kwenye dressing table...

Ukiwa kitandani unafanyaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom