comment hii kutoka kwako si jambo dogo,je huamin katika uwepo wa ukimwi?
Je ukipewa condom ukaambiwa nenda kafanye mapenzi na mtu alie athirika na UKIMWI
Utaenda?
Ninauliza hivi kwa maana wengi huwa tunatumia condom kwa kuwa tu hatuna uhakika na usalama wa mtu unae shiriki nae tendo.
Ila ki ukweli ungekuwa unajua dhahiri kuwa mtu unae enda kulala nae tayari ana ngoma hata hiyo condom ukipewa uta du kweli?
Hutaki eeennhhh????,shauri lako naona unapiga teke bakuli la dhahabu.PM sitaki
Yaah!!!,nilitaka nishangae km umeichukulia kirahisi hivyo.Nachombeza tu kaka ile kitu ni noma unakufa na kilo 2
ok!!,ndo misemo ya kitaa nini???.Hahaha maneno mengi lakini maana yake ni moja tu.
Je ukipewa condom ukaambiwa nenda kafanye mapenzi na mtu alie athirika na UKIMWI
Utaenda?
Ninauliza hivi kwa maana wengi huwa tunatumia condom kwa kuwa tu hatuna uhakika na usalama wa mtu unae shiriki nae tendo.
Ila ki ukweli ungekuwa unajua dhahiri kuwa mtu unae enda kulala nae tayari ana ngoma hata hiyo condom ukipewa uta du kweli?
kama najua siendi .. ila kama sijui nakubali kupigwa
Wenye fani zao....asante mama!
kwa sababu na nyie wanaume mnasemaga mnatupiga
sawa tuNa mpigwe tu maana hakuna namna