milioni milioni
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 1,845
- 1,066
Usiyafanye mawazo haya yakatawala maisha yako na wala usiyaruhusu yawe sehemu ya maisha yako.Nilikuja speed nikidhani utaniallocate walipo hawa wake wema kumbe wako mbinguni! Daah basi poa,nikienda huko nitamposa mmoja!