Je unafurahia mahusiano yetu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je unafurahia mahusiano yetu?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mzalendo wa ukweli, Oct 24, 2012.

 1. Mzalendo wa ukweli

  Mzalendo wa ukweli JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 562
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi inapotokea mwenzi wako anakuuliza swali: JE UNAFURAHIA MAHUSIANO YETU? Unapata ujumbe gani wewe binafsi kabla hujamjibu swali lake? Nimekumbana mara nyingi na swali hili na natamani kujua what is behind this question.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Au anakuuliza unanipenda? lol kwangu hua simjibu namyeyusha tu................
   
 3. YETOOO

  YETOOO Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi huwa napata picha yeye hafurahii kwa hiyo anataka kujua na mimi kama nafurahia au laa,ili iwe rahisi kwake kusema tuvunje uhusiano.Swali baya sana hilo asikwambie mtu.
   
 4. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  kha!! kumbe ukiwa na mahusiano hayo ndio maswali yenyewe....bora nibaki single
   
 5. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  swali zuri sana
  anafurahia anataka kujua na wewe kama unafurahia
   
 6. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  wee unajuaje anafurahia? je kama anapima kama umezama kivile na yeye yupo yupo tuu?
   
 7. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Mimi huwa naona muda wa kutupiwa virago umekaribia!!!!!!!!!!Ila kiroho ngumu najibu! Nafurahia japo kuna vitu ungeviongezea ningekuwa the happiest person, ikiwemo kile kijifungu cha matumizi ungekidouble!!!! Swadaktaaaaa!

  Saingine mtu tu UNAKUWA UMEMPAGAWISHA POTEZA POTEZAAA! Basi anakuwa anjishuku huenda ukamtupia virago kabla msimu haujaisha, hivo anajiwahi ili apate japo fursa ya kujirekebisha ili usimuache! LOL! Yaani anakuwa anakuona you too good for him!!!! Hahahaaaaaa! Basi hapo ata ukitaga akufagilie bahari anadaka ufagio fastaaaa! Nikimpata wa hiviii mbona mambo yangu yatanyooka!!!!!!!!!!! LOL!
   
 8. piper

  piper JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Inaonekana kuna kitu kinamkwaza so anakuuliza indirectly.
   
 9. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,496
  Likes Received: 81,827
  Trophy Points: 280
  Jibu ukweli mtupu. Yale maeneo ambayo unayaona yana kasoro mfahamishe kasoro unazoziona ili azirekebishe na wewe pia si vibaya ukamrushia swali hilo hilo. Hakuna ujumbe wowote zaidi ya kuwekana sana katika maeneo ambayo yana hitilafu ndogondogo/kubwakubwa na yale maneo mengine ambayo wote mnaridhika nayo kuyaacha kama yalivyo au kuyaboresha zaidi.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0

  Ni swali zuri. Huwa anataka kupata uhakika wa furaha yako ukiwa naye. Inaonekana fika huwa huonyeshi kufurahi na inaonekana anakupenda na anataka kurekebisha kile ambacho kinakufanya usiwe na furaha. Tatizo linakuja wewe humuweki wazi badala yake unaanza kufikiria kwa nini ameuliza au anataka nimjibu nini. Kwenye mapenzi funguka, uwe huru kuelezea hisia zako!
   
 11. Mzalendo wa ukweli

  Mzalendo wa ukweli JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 562
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ok, ni kweli ni swali baya sana na linakera mno!!!!
   
 12. Mzalendo wa ukweli

  Mzalendo wa ukweli JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 562
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ha ha haaaa mzabzab unafurahisha kweli. Unaogopa kuulizwa maswali kama haya kwa nini wakati watu wanataka uhakika?
   
 13. Mzalendo wa ukweli

  Mzalendo wa ukweli JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 562
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ok Smile but what if vice versa is true?
   
 14. Mzalendo wa ukweli

  Mzalendo wa ukweli JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 562
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Ok this is also possible Piper,thanks kwa mchango wako!!!!!
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Why being negative? Mtu anakuuliza ili aboreshe. Hata training ikiisha kuna feedback kwa facilitator na unajulishwa wanafunzi ama trainee wanakuonaje. Inakusaidia kujiongeza na kujiboresha. Kwenye relationship nitafanya the same, for positive improvement.
   
 16. K

  Kyandaya Member

  #16
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  show her the bottom of your heart.It seems that your relationship is unbalanced.
   
 17. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  tatizo ni kwamba dada zetu ukiwaambia ukweli...mie nipo kiutamu utamu zaidi atasem umeniona mie chips funga sio.
   
Loading...