Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Ki ukweli mimi sina ninacho abudu kwa sasa naweza kusema hivo, ninachojua mimi ni nimezaliwa nimekuta maisha yanaendelea duniani, nikakuta elimu ya kidunia inaendelea na mimi nikasonga nayo na ninacho subiri hapa ni kufa tu full stop na ni ndicho ninachodhani binadamu wengi tuko hivo.

Nikiwa mdogo nilikuwa naenda sana sunday school nikijua ni utamaduni tu labda na ilikuwa kama amri kutoka kwa wazazi usipoenda unapigwa lakini nilipofikia umri wa kubalehe na kuanza kujitambua ki ukweli sijawahi kurudi tena kanisani ingawa wazee wangu (wazazi ndiyo huwa watu wa kusali).

Ilifikia time nilipofaulu kwenda kidato cha tano mzee wangu aligoma kunipeleka shule akanambia "mimi sisomeshi mapagani".

Baada ya hapo Mama alinitetea nikaenda shule kwa sababu shule ilikuwa ni huko mikoa mbali ikawa nimepua kidogo maana hakuna wa kuniuliza kama jumapili nimesali hata mzee alipokuwa akinipigia simu namwambia ndiyo nimesali ila kiuhalisia ilikuwa hamna, ilifikia mda mzee ananipigia siku kunambia nimeota ndotoni hausali alafu unajihusisha na mambo ya dunia, nikamwambia mzee hamna labda hizo ni ndoto zako kwa sababu mwanao niko mbali.

Ndiyo hivo maisha yangu yalikuwa ila kitu pekee ambacho mimi naweza sema nidhaifu ama ndiyo weakness yangu ilipo ni kwamba :

Mimi napenda sana kujifunza vitu vipya, yani niko addicted vibaya mno na hasa kuhusu huu ulimwengu ( Observable Universe) ulivyotokea.

Napenda sana kujifunza mambo yahusuyo sayansi na falsafa.

Wana falsafa waliostaraabika tangu kale na kuleta ustaarabu duniani (hasa wagiriki wa kale) kama kina Socrates, pilato na kina Aristotle ndiyo huwa chai yangu huwa napenda sana kuyasoma mawazo yao na walichoamini kuhusu huu ulimwengu.

Ukija watu kama kina Albert Einstein, kina Karl Max, kina Galilei Galileo (Ambaye kanisa la roma lilimuua kwa kuusema ukweli) ndiyo mara nyingi napenda kujifunza kutoka kwenye mawazo yao.

Na hivi ndivyo kumenifanya mimi naishi duniani bila woga (Maana mara nyingi watu wanaosema wanaabudu huwa wanaishi kwa hofu sana hata hawana hakika kama kesho wataamka) .

Ila msingi wangu wa mimi kutokuabudu unaanziaga kwa kujiuliza swali hili kwamba "Kwanini wanadamu wanaabudu na kukiamini kitu wasichokiona kwa milango ya fahamu wala kukigusa " ? Hapa ndipo msingi wa mimi kutoabudu chochote ulipojengwa.

NB : mpaka sasa geto kwangu mimi ninapo ishi nna Biblia na huwa napenda kuisoma ninapokuwa nimemaliza shughuli zangu ila changamoto inayonikabili ni kwamba ina mafumbo mengi sana kwa mara nyingi huwa nasoma kama gazeti tu maana ki ukweli humo kuna hadithi zinanifurahishaga na kunifanya nicheke sana.

Hasa hadithi ya wana wa Israel kutoka utumwani misri wakiongozwa na Musa kuelekea nchi ya ahadi ni hadithi ambayo huwa inanifanyaga nicheke sana kwa sababu safari ilikuwa na matukio ya kufurahisha.
Umbali wa km 10 watu wanasafiri cku 40
 
Guys hivi nimeeleweka kweli? Maana japo nimeandika mm nimejaribu kusoma ila naona kama sielewi hivi..Bahati mbaya sina njia nyingine ya kuandika hii post ikaeleweka😔😔 😢😢
Baada ya kuisoma mind vizuri ndio nimeuelewa huu uzi. Hakika wewe ni fundi na ni mwalimu mzuri wa akili. Hongera na Mungu akujalie.
 
Baada ya kuisoma mind vizuri ndio nimeuelewa huu uzi. Hakika wewe ni fundi na ni mwalimu mzuri wa akili. Hongera na Mungu akujalie.
Thanks for appreciation mate, Bado najifunza pia.
Maendelezo wake upo hapa.
 
Thanks for appreciation mate, Bado najifunza pia.
Maendelezo wake upo hapa.
🙏🙏🙏😍
Asante mate
 
You can build a a bridge that you can't cross...
That doesn't mean I won't build many more bridges
 
SALUTE

Maisha ni safari ndefu yenye mabonde na mashimo tu Yenye matumaini tu huku raha zikiwa chache mateso na taabu yamejaa! Kuna mambo yanaweza au yanatokea kwenye maisha yako hadi ukabaki unashanga. Yaani jambo fulani baya au zuri linakufata wewe tu kila siku hadi unajiuliza Why me?

Mfano uko mtaani kila tukio baya likitokea basi unahusishwa, unaweza kuta yaani wewe kila mwanaume anayekufata ni ni wa aina fulani usiyoipenda, labda mwizi, muhuni, mweusi, mfupi, mjinga nk.

Kwa upande wa wanaume nadhani hii inawatokea sana utasikia kabisa mtu anasema "Aisee mimi nina bahati na wanawake weupe/walimu/manesi/wanawake washamba nk nk. Yote haya ni maisha yetu ya kila siku ya sisi wanadamu, wengi hatuelewi kwanini hii inatokea hivi lakini ni vitu ambavyo vinahusiana na mambo ya kiroha na Kiasili (nature).

Lakini hadi mtu yanamtokea mambo haya bila yeye mwenyewe kujua hua nini kinafanyika? Hapa nitaenda kuelezea zaidi jinsi mambo mabaya yanavyokua yanaambatana nasi pasipo sie kupenda. Ili nieleweke vizuri nitatumia terminologies za kwenye mambo ya teknoloji.

Kwenye Computer Processors kuna kitu kinaitwa Caches, hii ni sehemu ambapo ukifinya kitu fulani kwenye computer basi kile kitu kinahifadhiwa huko ndani ili ukitaka kukitumia tena basi kinafanyiwa kazi kwa haraka zaidi. Pia kuna kitu kingine kinaitwa HTTP Cookie hizi zinafahamika pia kama Web cookie, browser cookie, internet cookie. Hizi ni data ndogondogo ambazo huchukuliwa kwenye web, internet, browser n.k na kuhifadhiwa kwenye Computer wakati mtumiaji yuko anaperuzi. Kazi yake ni kurekodi mambo yote ambayo mtumiaji (user) anayafanya kwenye internet mfano. Zinarekodi Password, page ipi umetembelea, Majina, nk. Hayo yote yanakusaidia wewe mtumiaji wa internet utakapotaka kuperuzi mitandaoni basi iwe rahisi kutumia.

Kwa upande wa Google huko wao wana project yao wanaita Hummingbird, hii ni alogarithm ambayo inafanya kazi ya kumwezesha mtumiaji wa huduma za google (Hasa YouTube na Google as Search engine) kupata huduma hizo kwa urahisi na kwa haraka...wanasema Google inakujua kuliko mama yako mzazi, Ni kweli.

Unapotafuta kitu Google chochote Hummingbird inarekodi kila kitu baadae ukitaka kuitumia tena inakuletea vitu kama vile ulivyotafuta mwanzo. Ndio maana ukitafuta kitu fulani YouTube ukaangalia ukamaliza labda ukatoka huko baadae ukirudi tena youtube utakuta video mbalimbali zinazoshabihiana na zile ulizoangalia mwanzo.

Yes kwakua Google wanakua washajua ni vitu gani unapendelea ili usisumbuke kuandika wanakuletea hapo kwenye homepage as suggestion posts.

Sasa turudi kwenye mada kuu, mada yetu inahusu kwanini mambo fulani (upande wa ubaya) yanaweza kua yanakufata wewe tu!. Kwenye moja ya post zangu zilizopita nilieleza kua Roho ya binaadamu ndio inabeba taarifa ya kila kitu kukuhusu wewe, so nikachukulia kwamba Roho ya binaadamu ni kama BIOS CHIP (ROM) iliyopo kwenye Motherboard ya Computer halafu mwili wetu ni kama kasha la nje la Computer. Unapokufa Mungu anachomoa Bios chip tu iliyo na taarifa zako!

Leo twende tofati kidogo, tuchukulie Roho ni HummingBird au Cookie au Cache japo mimi nitapendelea tuichukulie kama HummingBird. Roho (Soul) imegawanyika katika sehemu tatu ambazo ni Mind, Intellect na Impression. Mind ndio inahusika kwenye kufikiria, hasa kwenye kutambua lipi baya na lipi zuri. Kwenye Mind kuna kitu kinaitwa Subconcious Mind hii ndio sehemu kuu ya Roho (Soul) ambayo kazi yake ni kurekodi shughuli zetu za kila siku ziwe za kimwili au kiroho.

Sasa kwenye maisha halisi ipo hivi, unapofanya kitu fulani roho(subconcious mind) yako inarekodi. Labda siku moja uliwahi kuwa na mahusiano/ Kutongozwa/za na mwanaume au mwanamke ambao kwako wewe ambae wewe unaona hakufai, roho yako inahifadhi taarifa kwamba uko interested na watu wa namna hiyo. Au siku moja imetokea umeiba kitu roho itahifadhi taarifa. Siku umeenda jela basi roho itasevu. siku ukitembea na mtu aliekuzidi umri roho itahifadhi nk. Kwa upande wa Psychology roho tunasema kwamba Roho (Subconcious mind) inafanya kazi kwa ukaribu zaidi au inashirikiana katika kutenda kazi na Nature.

Kwa hiyo sasa unapofanya kitu fulani roho yako ikakihifadhi, baadae Roho itawasiliana na Nature kwamba unapenda vitu fulani hivyo nature itakua inakuletea vitu hivyo mara kwa mara. Hiki kitendo nature kuwasiliana na roho kisha kukuletea yale usiyoyapenda ndio tunaita MKOSI.

Mfano: Mbaba aliyekuzidi umri kakutongoza wewe kwa kua unashida zako ukamkubalia roho inahifadhi. Baadae itawasiliana na nature kua fulani anapenda wanaume wa umri fulani kisha nature itakuletea mwingine kama suggestion. ukikubali tena na tena basi ndio itakua tabia yako kabisa. Hii ipo kwa kila kitu iwe kibaya au kizuri.

Je, tufanyaje ili kuepuka mambo mabaya yanayotuandama?

Kwenye Computer ili kuziepuka cookies baada ya kutumaliza kuperuza mitandaoni inatakiwa uende upande wa setting kisha chagua Clear Cookies ili kuondoa kumbukumbu zote zote za kuperuzi siku hiyo. Kwa upande wa Google kubaki na taarifa zako. Huwa tunashauri kutumia Search Engine ya Duck Duck Go, Hii web ni nzuri zaidi maana hua ina clear taarifa zako zote baada ya kumaliza kuitumia..ina mengi mazuri ya kiusalama hasa kwenye taarifa za utumiaji wa kila siku (Browsing History). Jamani siipigii debe hii web, ni kuwaweka sawa tu na mada yetu hii. Sasa kuclear cookies au kuondoa mikosi kwenye maisha kuna mambo kadha ambayo tutayafanya.

Hivi ulishawahi kujiuliza kwanini mtu akitoka jela au mahabusu (kituoni) zile nguo alizoenda nazo huwa zinatupwa, pia itabidi aoge kabisa kabla hajaingia ndani, wengine huenda mbali zaidi kwa kuogeshwa dawa za mitishamba ili kuondoa mikosi. Hapo sasa ndio kitendo cha kuclearcookies. Wanafuta taarifa zote zilizomo kwenye roho zihusuzo jela. ni mfano tu huu ila hizi hapa chini ni njia zangu amabazo mimi kwa ufahamu wangu nadhani tukizitumia tutaweza kuondoa mshikamano wa mambo mabaya kwenye maisha yetu (Mikosi)​
  • Kujua Preferences zako
Ili kuondoa kushikamana na mambo mabaya maishani inabidi mtu ujitambue wewe binafsi unapenda nini hasa. Je unapenda Kuwa mwema? Unapenda kuiba?unapenda mwanamke wa namna fulani?unapenda mwanaume wa aina fulani nk nk.. ukishajua ukipendacho basi futa yale uyapendayo nawe yatakua yanashikamana nawe.

Hatima yako ipo mikononi mwako, usiache Nature ikuchagulie Hatima yako kwa vitu ambavyo hupendi. Hivyo basi tukisha tambua yale tunayoyapenda na kuayafuata tutaifanya nature ituletee yale pia mabayo tunayapenda.Hapo tutakua tumekwepa kufuatwa na mabaya.​
  • Kujiondoa kwenye mikosi. (Kuclear Cookies maishani)
Jamani maishani huwezi kua smart muda wote Nature always win!!!, ipo siku utanasa tu. Sasa hapa labda tuseme umeshavuruga mambo maisha yamejaa mikosi na mabaya yanakuandama. Hapa sasa tutaangalia jinsi ya kuondoa hayo mambo.

1. Tutumie Chumvi na maji, Usishangae sio uganga wala uchawi. Chumvi ni dawa nzuri sana kwa binaadamu nadhani member wengi wameielezea sana humu, sina haja ya kueleza zaidi. Cha msingi chukua chumvi ile ghafi ambayo haijapita kiwandani changanya na maji kisha nuia unavyotaka kisha oga. Hata nabii Ezra aliambiwa na Mungu achanganye maji naNchumvi kisha kuwapatia wana wa Israel wajitakase, ndio maana kwetu RC kuna maji ya baraka yenye Chumvi.

Kama utakua karibu na bahari itapendeza kabisa wewe ni kwenda na kujitupa tu majini maana huko chumvi kibao

2. Mshirikishe Mungu unayemuamini hata kama ni mzimu, hapo inabidi uombe toba kabisa, mweleze mapungufu yako na mahitaji yako kua unataka kuwa mtu mpya, mambo mabaya hutaki kushirikiana nayo. Piga sala sana na ibada kadri uwezavyo. Almighty atakuelewa na kukusafisha uwe mpya.

Maisha bana is all about determing yourself waganga, manabii na mashehe Sharifu wanatuibia tu kwa kuwa wanajua elimu tunayo kidogo, hatujitambui. Tujifunzeni kujitambua hatutasubiria kuombewa na nabii. Wao wanacheza na Psychology ambapo huko watu wengi ni watupu sa tunapigwa tuuu!!!

NOTE. Ahsante Mungu kwa yote uliyonijalia hasi umeniwezesha kuandika mada hii.
End....

Kama umepende Like, Comment then share kwa wenzio.

~Da'Vinci
el maestro.
Mungu yupi unaye refer to,maana hata Shetani naye mungu.Na kwa jinsi mada hii ilivyo andikwa,nadhani sina shaka yeyote your god is
Baphomet.

_84518725_hi028048367 (1) (1).jpg
 
Mungu yupi unaye refer to,maana hata Shetani naye Mungu.Na kwa jinsi mada hii ilivyo andikwa,nadhani sina shaka yeyote your god is
Baphomet.

View attachment 2026899
You're so succumbed and consumed by hate and conspiracy.
Hivi kwanini nyie wasabato na walokole hua mnapendana sana kujiona kua ndio watoto wa Mungu na mnaofaa zaidi?
Chuki zako kwa Wakatoliki hazitakusaidia lolote
 
Pope Francis si Jesuit yule,sasa mungu wake si Baphomet.Da'Vinci huo ndio ukweli whether you like it or not.Ninyi mnaabudu msichokijua!Na haya majina mnayo okoteza okoteza haya,eti Da'Vinci,unajua maana yake?Kweli ujinga mzigo.
 
Pope Francis si Jesuit yule,sasa mungu wake si Baphomet.
Aliyekudanganya Mungu wa Jesuist ni huyo uliyetaja ni nani?? Au huwajui Jesuits nikuletee historia yake.
huo ndio ukweli whether you like it or not.Ninyi mnaabudu msichokijua!Na haya majina mnayo okoteza okoteza haya,eti Da'Vinci,unajua maana yake?Kweli ujinga mzigo.
Shida yako sasa ipo hapo hutaki mtu akupinge na mtu akikupinga unakimbilia kumu-Attack kwamba ni agent wa shetani. Huwezi kuwa ww ndio upo sahihi kwenye kila mada yako na hutaki kupingwa huo ni Ujima wa reasoning
Ninaabudu ninachokijua maana najua taratibu na hatua za kuabudu

Najua maana ya Da Vinci..
Vinci ni eneo huko italy nadhani lilikua inahusiana na Leonardo.
Leonardo da Vinci
Hiyo da ni kielezi kwamba leonardo anayetokea Vinci.
 
Aliyekudanganya Mungu wa Jesuist ni huyo uliyetaja ni nani?? Au huwajui Jesuits nikuletee historia yake.

Shida yako sasa ipo hapo hutaki mtu akupinge na mtu akikupinga unakimbilia kumu-Attack kwamba ni agent wa shetani. Huwezi kuwa ww ndio upo sahihi kwenye kila mada yako na hutaki kupingwa huo ni Ujima wa reasoning
Ninaabudu ninachokijua maana najua taratibu na hatua za kuabudu

Najua maana ya Da Vinci..
Vinci ni eneo huko italy nadhani lilikua inahusiana na Leonardo.
Leonardo da Vinci
Hiyo da ni kielezi kwamba leonardo anayetokea Vinci.
Unajua Da'Vinci,mimi nimefanya tafiti nyingi sana,ndio maana ninakuwa na ujasiri wa kupinga mambo kwa kuwa najua hiki ni kweli na hiki sio.Sasa brother,nikubali vitu ambavyo najua sio kweli,si nitakuwa napotosha.Unajua,tatizo la Wabongo ni kwamba hawapendi knowledge,wao ni Simba na Yanga tuuu,sijui Arsenal,sijui Manchester United,hiyo noma.

Kwa mfano nikuulize,unajua siri iliyopo kwa Vatican kushutumiwa vitendo vya ngono kwa minors kila uchao?Na je,unajua kwamba Vatican wanatoa watoto kafara?This could be a surprise to you,but it is true.

Mwisho,wewe Da'Vince humjui Pope Francis,he is a stauch Jesuit!Nikutonye tu,the Order of the Jesuit is a very evil underground society,na kama unataka naweza kuku-surprise kwa kukuletea taarifa,ila kwa sasa niishie hapo.
 
Unajua Da'Vinci,mimi nimefanya tafiti nyingi sana,ndio maana ninakuwa na ujasiri wa kupinga mambo kwa kuwa najua hiki ni kweli na hiki sio.Sasa brother,nikubali vitu ambavyo najua sio kweli,si nitakuwa napotosha.Unajua,tatizo la Wabongo ni kwamba hawapendi knowledge,wao ni Simba na Yanga tuu,sijui Arsenal,sio Manchester United,hiyo noma.Kwa mfano nikuulize,unajua siri iliyopo kwa Vatican kushutumiwa vitendo vya ngono kwa minors kila uchao?Na je,unajua kwamba Vatican wanatoa watoto kafara?This could be a surprise to you,but it is true.
Kwanza nikuombe radhi kama nitakua nimetumia maneno ya kuudhi katika majibizano yetu. Ni kweli humu watu hatujuani mimi najua hili wewe wajua lile so kuheshimiana ni kitu muhimu.
Mimi sio mpenzi wa mpira kabisa hivyo kwenye mfano huo unitoe, ni kweli RC kumekua kuna kashfa ya vitendo vya ngono kwa makasisi.
Ila Sijawahi kujua kama hua wanatoa makafara watoto, hivyo ningependa unijuze mkuu
Mwisho,wewe Da'Vince humjui Pope Francis,he is a stauch Jesuit!Nikutonye tu,the Order of the Jesuit is a very evil underground society,na kama unataka naweza kuku-surprise kwa kukuletea taarifa,ila kwa sasa niishie hapo.
Nikweli simjui maana nimebase kwenye upande wake mwema tu kama kiongozi wa kanisa langu.. Jesuist ningependa unieleze kwa undani labda nachojua mimi ni kidogo kati ya mengi yaliyopo.

Naomba tujuzane mkuu ndio kazi ya jukwaa hili kushea yale tunayofahamu...Elimu si elimu kama itafichwa makabatini na vichwani ndio maana watu huandika vitabu ili tujifunze. So nielezee kama hutajali
 
Kwanza nikuombe radhi kama nitakua nimetumia maneno ya kuudhi katika majibizano yetu. Ni kweli humu watu hatujuani mimi najua hili wewe wajua lile so kuheshimiana ni kitu muhimu.
Mimi sio mpenzi wa mpira kabisa hivyo kwenye mfano huo unitoe, ni kweli RC kumekua kuna kashfa ya vitendo vya ngono kwa makasisi.
Ila Sijawahi kujua kama hua wanatoa makafara watoto, hivyo ningependa unijuze mkuu

Nikweli simjui maana nimebase kwenye upande wake mwema tu kama kiongozi wa kanisa langu.. Jesuist ningependa unieleze kwa undani labda nachojua mimi ni kidogo kati ya mengi yaliyopo.

Naomba tujuzane mkuu ndio kazi ya jukwaa hili kushea yale tunayofahamu...Elimu si elimu kama itafichwa makabatini na vichwani ndio maana watu huandika vitabu ili tujifunze. So nielezee kama hutajali
Nitakuletea taarifa za the Jesuits na kafara zinazotolewa Vatican,Ila naomba unihakikishie kwamba hutaziita conspiracies kwa kuwa sina sababu yeyote ya ku-conspire against the RCs.Nia yangu ni ku-expose evil,ili watu wasidanganywe na wafanye informed decisions.
 
Kwanza nikuombe radhi kama nitakua nimetumia maneno ya kuudhi katika majibizano yetu. Ni kweli humu watu hatujuani mimi najua hili wewe wajua lile so kuheshimiana ni kitu muhimu.
Mimi sio mpenzi wa mpira kabisa hivyo kwenye mfano huo unitoe, ni kweli RC kumekua kuna kashfa ya vitendo vya ngono kwa makasisi.
Ila Sijawahi kujua kama hua wanatoa makafara watoto, hivyo ningependa unijuze mkuu

Nikweli simjui maana nimebase kwenye upande wake mwema tu kama kiongozi wa kanisa langu.. Jesuist ningependa unieleze kwa undani labda nachojua mimi ni kidogo kati ya mengi yaliyopo.

Naomba tujuzane mkuu ndio kazi ya jukwaa hili kushea yale tunayofahamu...Elimu si elimu kama itafichwa makabatini na vichwani ndio maana watu huandika vitabu ili tujifunze. So nielezee kama hutajali
Kwanza anzia na hiki kinachoitwa the Extreme Oath of the Jesuits,utagundua kwamba no ushetani mtupu na hakuna Mungu kabisa hapo.

Ungepata hiki kitabu ungeijua Vatican kwa undani sana,Ila hii summary nadhani inatosha kupata picha.

Amazon product ASIN B07734P2HR
 
Kwanza anzia na hiki kinachoitwa the Extreme Oath of the Jesuits,utagundua kwamba no ushetani mtupu na hakuna Mungu kabisa hapo.

Lakini mkuu kazi kuu ya Jesus society ni kulinda imani katoliki kwa upanga na msalaba . Nadhani unajua jinsi ukristo unavyopigwa vita niliwahi kuandika mada hiyo

Mwaka1539 ininyo akishirikiana na marafiki zake alianzisha sirika la Jesus Society(Jesuist) yeye akiwa kiongozi mkuu, Hapo tayari alikua haitwi tena Ininyo bali Ignatius, Jesuit ililasimishwa na pope paul III mwaka 1540, Ignatus aliwatuma marafiki zake wale kama wamisionari wake kuzunguka bara lote la ulaya..lengo kuu ilikua kujenga shule,vyuona seminari za kikatoliki ulaya yote. Mwaka 1553 Ingantius aliandika katiba ya shirika la Jesuist akisaidiana na secretary wake Alfonso de Polanco alisisitiza kujikana na utii kwa Papa na kwa wakuu katika uongozi wa Kanisa, kwa kutumia kauli mbiu ya perinde ac cadaver yaani “ kama mwili uliokufa/mfu",akimaanisha kwamba mshirika wa kundi la Jesuist anapaswa kuwa na nidhamu kama mtu aliyekufa. Baadae kanuni yake ya Ad maiorem Dei gloriam ("kwa ajili ya utukufu mkuu wa Mungu’) ndio ikawa kauli mbiu kuu ya shirika la jesuist

Santa alleanza
Jesus society walitembea na vitu vitatu imani,elimu na afya. waliamini kwamba ili kanisa lidumu kwanya watu wake wapewe elimu na afya bora kisha wapondwe pondwe mioyo yao kwa imani..kwa kufuata farsafa hiyo JS wamejenga shule,vyuo,seminari na hospitali nyingi sana duniani kote. Ndio maana utakuta parokia inamiliki shule na hospitali au wanakua na maeneo makubwa kwa ajili ya kutoa huduma mbalimbali zakijamii.

Mbali na hayo pia Jesuist ipo kama kitengo binafsi ndani ya kanisa ambacho lengo lakekuu ni kuhakikisha Kanisa katoliki kama taasisi na Imani inaendelea kuwepo kwa kulindwa iwe kwa hali yoyote, sasa basi walipowekeya zaidi kwenye elimuhapo ndio walipojipatia point muhimu za mezani. Kupitia elimu inayotolewa kwenye shule na seminari za katoliki wameweza kuana ushawishi wa serikali nyingi hapa duniani maana viongozi wengi wa serikali na watu wengi wenye ushawishi kwenye jamii ni zao la Jesuist, hivyo wanapata nafasi ya kua na sauti kwenye nchi mbalimbali. Nyerere pia ni zao la jesuist ndio maana alipokua raisi tu alilikabidhi taifa chini ya uangalizi wa mama Bikira Maria..japo watu wa upande wapili hawakupenda kitu hicho ndio maana hua wanamuAddress Kama dikteta na kafir.
 
Back
Top Bottom