Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Jinsi ya kunuia na je unashauriwa nioge Mara ngapi chumvi nafanyaje ili nitamke maneno bila kusema mfano nikasema nakataa roho zote za mikosi kwa jina la yesu je Ni sahiii kunuia hvyo au ninuiaje Da vincci Mkuu
 
Mkuu nanuiaje mfno nimetumia chumv huku nikisema nakaa roho zote za mikosi katk jina la yesu je Ni sahiii kunuia hvyo au natamka vip maneno ya kunuia
 
Guys hivi nimeeleweka kweli? Maana japo nimeandika mm nimejaribu kusoma ila naona kama sielewi hivi..Bahati mbaya sina njia nyingine ya kuandika hii post ikaeleweka😔😔 😢😢
Da' Vinci:

Binafsi nimekuelewa mkuu. Tuseme katika maisha tunayoishi macho yetu ni kama camera yanapga picha nakuhifadhi kwenye ubongo kuna picha nzuri na mbaya zote zinabaki kama kumbu kumbu nzuri na mbaya unavyozikumbuka ndivyo nature na yenyewe itavyokupelekea kufanya vile ambavyo akili inataka.

Hivyo tunashauriwa kwenye kufanya tafakuri kujitahidi akili yetu kuwa tupu ili kuweza kuruhusu nature tupokee mambo mazuri ilhali mabaya yapo tuyaone katika mtazamo wa kutujenga kifikira,akili,roho na mwili.

Ni kama unvyomiliki simu janja ni jukumu lako kuamua kipi ukiweke au kipi ukifute.
 
Ahsante kwa kunuelewa Mate, Appreciated

Kweli kabisa na Memory ndio hiyo soul inahifadhi kila kitu kilochorekodiwa na macho either kwa kuona au kutenda

Convincing the body to be Manifested by Soul. Mwanadamu bila soul ni kama kasha lisilo na kitu ndani

Splendid narrations. Ahsante kwa mchango wako kiongozi...Je tufanyeje?

Da'Vinci

Nipe muongozo kwa injili ya 1Wakorintho 5:10 imejieleza tunapaswa kuongozwa na roho mtakatifu.

Muongozo tafadhali mkuu....
 
Wanasema kwamba "you're what You Listen, what you watch, what you read" wakimaanisha kwamba wewe Upo hivo hivyo kutokana na unachotazama,unachosikiliza na unachosoma..Pia na unachokula.

Hivyo basi wanaofanya system override ya maisha ya Mwanadamu hau wanalimit utazame nini,ule nini,usikilize nini na usome nini.

Ndio maana utaona kama ni kwenye filamu itatakiwa uone kuhusu yale wanayoyataka wao kama ni kuwa unyesa ushoga ulivyo halali basi utaonyeshwa sana kwenye muvi ndio maana huko Netflix utakuta muvi na series nyingi zina ushoga... Utaaminishwa kwenye muvi kwamba USA inalinda sana Amani ya nchi zote haifanyi ubaya wowote ule.

Kama ni kusikiliza utasikilizishwa yale wanayotaka usikie, kwa kutumia media na mitandao mabalimbali utaaminishwa kwamba Nelson mandela alifanya makubwa afrika kuliko kiongozi yoyote yule wakati wa kupigania uhuru, utaaminishwa kwamba Middle east wanauana wao kwa wao wakati uhalisia sio hivyo.

Watahakikisha unasoma kwamba kabla ya wazungu kuja afrika tulikua tunaishi kama manyani ustarabu uliletwa na wao wakati teknolojia zote zimetoka hapo misri Afrika.
Ndio maana kama wakicheza muvi inayohusu wafalme wa misri waigizaji wanakua ni wazungu, wakicheza kuhusu watumwa wa misri waigizaji wanakua waafrika.

Kwa kutambua kua mwili unatokana na unachokula basi watahakikisha unakula kile wanachotaka ule kwa ajili ya matokeo wanayoyataka. Ndio Maana GMO zimejazana huko mashambani zinapigwa chapuo kwa nguvu zote kwa ajili ya matokeo mawili
-Ukitumia GMO zinaenda kufanya DNA rewrite kwenye mfumo wa mwili wako mwisho utakua weak nawe utazalisha watoto ambao ni weak hata mafua yakikupiga unalazwa wiki..Magonjwa na kansa yatakua pamoja nawe daima Maana huna chakula asili cha kuupa mwili nguvu.

-Thomas sankara alisema who feeds you control you, hivyo basi akawekeza nguvu kubwa kwenye kilimo ili taifa lake lisiwe ombaomba wa chakula baada ya mda maghala yote ya Burkina fasso yalijaa chakula...Wazungu wakasema isiwe shida pumzika salama ndio ukawa mwisho wake
So, ukipanda GMO huwezi kurudia mbegu uliyovuna kuipanda ni kuvuna na kutumia. Ukishatumia mbegu za windani hadi zile za asili zikapotea kifuatacho mnakua tegemezi wa mbegu kinachofuata mnakua tegemezi wa chakula...ukishakua tegemezi wa chakula kwisha Habari yako. Unarudi kule juu anayekulisha ndio boss wako hivyo mtapewa magunia ya mahindi kwa mgodi wa madini au tani kadhaa za gesi huko mtwara.

Ujue kwamba USA kuna ghala linalolindwa kwa ulinzi mkali sana limehifadhi mbegu zote za asili kutoka kila pande ya dunia. Wanajua kitakachotokea baada ya miaka 50 to come

Lakini je yote kwa faida ya nani?? Ili iweje??
Nawaza tu kwa sauti mie mnyonge wa hali ya chini..🤔🙄🙄

Cc.
John Joba
Na waafrika tulivyomazuzu mtu akinunua mboga za majani shambani kwa wakulima wadogo wadogo tunamuona ni maskini, Huku yule anayenunua mboga iyo iyo supermarket ndio tajiri. But Behind the scene unagundua kuwa waafrika ni watu ambao wanaendeshwe na EGO kwenye kila hatua ya maisha yao.

Leo kiongozi wafrika anaonafahari kuendeshwa kwenye gari ya milioni 500 huku raia wake wakifa njaa.

Ngoja niendelee tu, kudigest ulichokiandika kwa maana sitamaliza leo.

Da'Vinci
 
Wanasema kwamba "you're what You Listen, what you watch, what you read" wakimaanisha kwamba wewe Upo hivo hivyo kutokana na unachotazama,unachosikiliza na unachosoma..Pia na unachokula.

Hivyo basi wanaofanya system override ya maisha ya Mwanadamu hau wanalimit utazame nini,ule nini,usikilize nini na usome nini.

Ndio maana utaona kama ni kwenye filamu itatakiwa uone kuhusu yale wanayoyataka wao kama ni kuwa unyesa ushoga ulivyo halali basi utaonyeshwa sana kwenye muvi ndio maana huko Netflix utakuta muvi na series nyingi zina ushoga... Utaaminishwa kwenye muvi kwamba USA inalinda sana Amani ya nchi zote haifanyi ubaya wowote ule.

Kama ni kusikiliza utasikilizishwa yale wanayotaka usikie, kwa kutumia media na mitandao mabalimbali utaaminishwa kwamba Nelson mandela alifanya makubwa afrika kuliko kiongozi yoyote yule wakati wa kupigania uhuru, utaaminishwa kwamba Middle east wanauana wao kwa wao wakati uhalisia sio hivyo.

Watahakikisha unasoma kwamba kabla ya wazungu kuja afrika tulikua tunaishi kama manyani ustarabu uliletwa na wao wakati teknolojia zote zimetoka hapo misri Afrika.
Ndio maana kama wakicheza muvi inayohusu wafalme wa misri waigizaji wanakua ni wazungu, wakicheza kuhusu watumwa wa misri waigizaji wanakua waafrika.

Kwa kutambua kua mwili unatokana na unachokula basi watahakikisha unakula kile wanachotaka ule kwa ajili ya matokeo wanayoyataka. Ndio Maana GMO zimejazana huko mashambani zinapigwa chapuo kwa nguvu zote kwa ajili ya matokeo mawili
-Ukitumia GMO zinaenda kufanya DNA rewrite kwenye mfumo wa mwili wako mwisho utakua weak nawe utazalisha watoto ambao ni weak hata mafua yakikupiga unalazwa wiki..Magonjwa na kansa yatakua pamoja nawe daima Maana huna chakula asili cha kuupa mwili nguvu.

-Thomas sankara alisema who feeds you control you, hivyo basi akawekeza nguvu kubwa kwenye kilimo ili taifa lake lisiwe ombaomba wa chakula baada ya mda maghala yote ya Burkina fasso yalijaa chakula...Wazungu wakasema isiwe shida pumzika salama ndio ukawa mwisho wake
So, ukipanda GMO huwezi kurudia mbegu uliyovuna kuipanda ni kuvuna na kutumia. Ukishatumia mbegu za windani hadi zile za asili zikapotea kifuatacho mnakua tegemezi wa mbegu kinachofuata mnakua tegemezi wa chakula...ukishakua tegemezi wa chakula kwisha Habari yako. Unarudi kule juu anayekulisha ndio boss wako hivyo mtapewa magunia ya mahindi kwa mgodi wa madini au tani kadhaa za gesi huko mtwara.

Ujue kwamba USA kuna ghala linalolindwa kwa ulinzi mkali sana limehifadhi mbegu zote za asili kutoka kila pande ya dunia. Wanajua kitakachotokea baada ya miaka 50 to come

Lakini je yote kwa faida ya nani?? Ili iweje??
Nawaza tu kwa sauti mie mnyonge wa hali ya chini..🤔🙄🙄

Cc.
John Joba

“Your mind is like this water, my friend. When it is agitated, it becomes difficult to see. But if you allow it to settle, the answer becomes clear.” Master Oogway

Nawaza tu kwa sauti mie mnyonge wa hali ya chini..

Cc.
John Joba
Additionally;

"He who controll the written paper, control the world"
 
Kila mtu akizaliwa hapa duniani huja na kusudi (Purpose) aliloletwa kulitimiza, kwa mantiki hiyo Mwalimu aliletwa kwa kusudi la kuikomboa Tanganyika kutoka kwenye mikono ya wakoloni,Mwalimu nyerere kazaliwa 1922 lakini mwaka 1945 akiwa ana miaka 23 tu aliweza kuhudhuria mkutano wa 5 wa Pan African Congress jijini Manchester hivyo basi waweza kuona ni jinsi gani alivyikua ashajua kusudinla yeye kuja dunianina kuanza kulifanyia kazi. mkuu hatima ya uhuruwa Tanzania ilikua mikononi mwa mwalimu, na kama inavyojulikana "You can escape your destiny, nobody can take away your destiny"

Mfano kidogo ili kuenea kwa imani ya kiislamu duniani allah ilibidi amletee Mtume maswahaba ambao walimsaidia pakubwa kusambaza uislam kwenye maeneo ya makafiri, vilievile ili YESU kueneza wokovu duniani ilibidi awe na wanafunzi na mitume wa kusambaza Habari za wokuvu ulimwengu mzima, kupitia wanafunzi wake Yesu aliweza kutimiza kusudi lake la kueneza wokuvu, Mwisho wa siku tunasema Yesu katuleta wokuvu mpaka kwetu huku ndani ndani ( ila hatusemi mitume wanatakiwa ndio wtambulike kama walioleta wokovu duniani bali Yesu) .

Kwa mantiki hiyo namaanisha kwamba ili kutimiza kusudi fulani ulilopewa na Mungu basi Mungu hukuandalia watu ambao watafanya kazi bega kwa bega ili kutimiza kusudi lako (mfano mzuri ni wazazi/walezi). hivi mkuu unatambua kua kuna watu hua wamezaliwa kusudi lao la kuzaliwa likiwa ni kuja kumsaidia mtu fulani aje kutimiza kusudi lake alopewa na Mungu,mfano mzuri ni Yohana mbatizaji. kusudi lake hata kwenye vitabu vinasema alikuja kuandaa njia/kusudi la Masihi Kristo....Hivyo hivyo kwa Mwalimu wetu Kuna watu wengi sana waliletwa hapa Tanganyika kuja kutimiza kusudi hilo. Ili kutimiza kusudi lake la kuiletea nchi yetu uhuru ilibidi watu wengi washirikiane nae. hatimaye aliweza kufanikiwa kuleta uhuru, hivyo basi hakuna suala la udini wala nini The Godman Nyerere atabakia kutambuliwa kama shujaa aliyeleta uhuru Tanganyika haijalishi ni wangapi walishirikiana nae.
 
Mi humuwaza mtu ,dk chache anapiga Simu hata kama sijawasiliana nae mwaka mzima.
Humuwaza mtu pengine hatujaonana hata miaka miwili, Sikh hiyo tutaonana.
Naweza tu kumfikiria mtu ana shida kubwa, nikawiwa kumtafuta sana.
Sitatulia mpk nimtafute na linakuwa kama deni, nikimtafuta nakuta mgonjwa, au yuko kwenye changamoto kubwa.
Au nikampigia, atasema yuko ok.
Nitakaa simu ila sitaridhika, some days later nitapiga tena, anasema ujue that day I was very sick sikutaka tu kukupa wasiwasi.

Shuleni, mi nilikuwa naandika ubaoni kutoka kichwani, nikiandika points za topics 6 ,5 nazikuta kwenye mtihani na same areas niliandika jana yake.
One day rafiki yangu alikua anakuja kusoma nami nyumbani ila kanizidi kidato kimoja.. siku hiyo nililala mapema ili akija saa 5 usiku niamke tusome. Alikuja akaniita nikiwa nimelala nikaitika nikiwa bado nimesinzia. Si nikaanza kuota kwamba nimeamka nikafungua mlango akaingia ndani tukaanza kusoma topic flani akanielekeza nilikua siijui asubuhi ndio naamka namuangalia kitandani kama kalala simuoni.

Mimi nilijua kwamba niliamka nikamfungulia tukasoma kumbe ilikua ndotoni qjabu kile kitu nilichosoma ndotoni nilikua nakikumbuka. Later baada ya kujikita kwenye mambo ya Kiroho nikagundua nini kilitokea..
Nilikuwa na mtindo wa kulala darasani na kwenye discussion , ila nakuwa nasikia lila kinachoendelea na nakuwa nimelala kabisa, nikiamka naendelea malipo vizur yu, tena kwa kusight mlichoongea nilipokuwa usingizini.
Hii ni enhanced Senses kwa kutumia subconscious mind. So inawezekana umepewa uwezo huo toka kuzaliwa au uliEnhance subconscious mind yako ikawa hivo. Yote yanawezekana... Mimi nawaambiaga mkiniita mara tatu nikiwa chumbani kama sitaitika ni either nimekufa au nimeamua kudharau kuitika.
Enzi nafuatilia simu ya my partner, kuna namna tu nikisema hili jina nna mahala nalo.
Na mind you linakuwa halijafanya anything prior.
Days later nakuta kweli kuna shida.

Humuwaza mtu ghafla , days late nasikia amefariki.( huniuma mno mno mno)

Ah ni mengi!
Pitia hii mada unaweza kupata kitu
 
I'll always be there for you coz I pledged my life and alligence to all the creatures on the universe.
Life is full of lots of up and downs
And the distance feels further
When you're headed for the ground
And there is nothing more painful than to let your feelings take you down
It's so hard to know the way you feel inside

When there's many thoughts and feelings that you hide
But you might feel better if you let me walk with you
By your side
And when you need a shoulder to cry on
When you need a friend to rely on
When the whole world is gone
You won't be alone, cause I'll be there
I'll be your shoulder to cry on
I'll be there
I'll be a friend to rely on
When the whole world is gone
You won't be alone, cause I'll be there
 
SALUTE

Maisha ni safari ndefu yenye mabonde na mashimo tu Yenye matumaini tu huku raha zikiwa chache mateso na taabu yamejaa! Kuna mambo yanaweza au yanatokea kwenye maisha yako hadi ukabaki unashanga. Yaani jambo fulani baya au zuri linakufata wewe tu kila siku hadi unajiuliza Why me?

Mfano uko mtaani kila tukio baya likitokea basi unahusishwa, unaweza kuta yaani wewe kila mwanaume anayekufata ni ni wa aina fulani usiyoipenda, labda mwizi, muhuni, mweusi, mfupi, mjinga nk.

Kwa upande wa wanaume nadhani hii inawatokea sana utasikia kabisa mtu anasema "Aisee mimi nina bahati na wanawake weupe/walimu/manesi/wanawake washamba nk nk. Yote haya ni maisha yetu ya kila siku ya sisi wanadamu, wengi hatuelewi kwanini hii inatokea hivi lakini ni vitu ambavyo vinahusiana na mambo ya kiroha na Kiasili (nature).

Lakini hadi mtu yanamtokea mambo haya bila yeye mwenyewe kujua hua nini kinafanyika? Hapa nitaenda kuelezea zaidi jinsi mambo mabaya yanavyokua yanaambatana nasi pasipo sie kupenda. Ili nieleweke vizuri nitatumia terminologies za kwenye mambo ya teknoloji.

Kwenye Computer Processors kuna kitu kinaitwa Caches, hii ni sehemu ambapo ukifinya kitu fulani kwenye computer basi kile kitu kinahifadhiwa huko ndani ili ukitaka kukitumia tena basi kinafanyiwa kazi kwa haraka zaidi. Pia kuna kitu kingine kinaitwa HTTP Cookie hizi zinafahamika pia kama Web cookie, browser cookie, internet cookie. Hizi ni data ndogondogo ambazo huchukuliwa kwenye web, internet, browser n.k na kuhifadhiwa kwenye Computer wakati mtumiaji yuko anaperuzi. Kazi yake ni kurekodi mambo yote ambayo mtumiaji (user) anayafanya kwenye internet mfano. Zinarekodi Password, page ipi umetembelea, Majina, nk. Hayo yote yanakusaidia wewe mtumiaji wa internet utakapotaka kuperuzi mitandaoni basi iwe rahisi kutumia.

Kwa upande wa Google huko wao wana project yao wanaita Hummingbird, hii ni alogarithm ambayo inafanya kazi ya kumwezesha mtumiaji wa huduma za google (Hasa YouTube na Google as Search engine) kupata huduma hizo kwa urahisi na kwa haraka...wanasema Google inakujua kuliko mama yako mzazi, Ni kweli.

Unapotafuta kitu Google chochote Hummingbird inarekodi kila kitu baadae ukitaka kuitumia tena inakuletea vitu kama vile ulivyotafuta mwanzo. Ndio maana ukitafuta kitu fulani YouTube ukaangalia ukamaliza labda ukatoka huko baadae ukirudi tena youtube utakuta video mbalimbali zinazoshabihiana na zile ulizoangalia mwanzo.

Yes kwakua Google wanakua washajua ni vitu gani unapendelea ili usisumbuke kuandika wanakuletea hapo kwenye homepage as suggestion posts.

Sasa turudi kwenye mada kuu, mada yetu inahusu kwanini mambo fulani (upande wa ubaya) yanaweza kua yanakufata wewe tu!. Kwenye moja ya post zangu zilizopita nilieleza kua Roho ya binaadamu ndio inabeba taarifa ya kila kitu kukuhusu wewe, so nikachukulia kwamba Roho ya binaadamu ni kama BIOS CHIP (ROM) iliyopo kwenye Motherboard ya Computer halafu mwili wetu ni kama kasha la nje la Computer. Unapokufa Mungu anachomoa Bios chip tu iliyo na taarifa zako!

Leo twende tofati kidogo, tuchukulie Roho ni HummingBird au Cookie au Cache japo mimi nitapendelea tuichukulie kama HummingBird. Roho (Soul) imegawanyika katika sehemu tatu ambazo ni Mind, Intellect na Impression. Mind ndio inahusika kwenye kufikiria, hasa kwenye kutambua lipi baya na lipi zuri. Kwenye Mind kuna kitu kinaitwa Subconcious Mind hii ndio sehemu kuu ya Roho (Soul) ambayo kazi yake ni kurekodi shughuli zetu za kila siku ziwe za kimwili au kiroho.

Sasa kwenye maisha halisi ipo hivi, unapofanya kitu fulani roho(subconcious mind) yako inarekodi. Labda siku moja uliwahi kuwa na mahusiano/ Kutongozwa/za na mwanaume au mwanamke ambao kwako wewe ambae wewe unaona hakufai, roho yako inahifadhi taarifa kwamba uko interested na watu wa namna hiyo. Au siku moja imetokea umeiba kitu roho itahifadhi taarifa. Siku umeenda jela basi roho itasevu. siku ukitembea na mtu aliekuzidi umri roho itahifadhi nk. Kwa upande wa Psychology roho tunasema kwamba Roho (Subconcious mind) inafanya kazi kwa ukaribu zaidi au inashirikiana katika kutenda kazi na Nature.

Kwa hiyo sasa unapofanya kitu fulani roho yako ikakihifadhi, baadae Roho itawasiliana na Nature kwamba unapenda vitu fulani hivyo nature itakua inakuletea vitu hivyo mara kwa mara. Hiki kitendo nature kuwasiliana na roho kisha kukuletea yale usiyoyapenda ndio tunaita MKOSI.

Mfano: Mbaba aliyekuzidi umri kakutongoza wewe kwa kua unashida zako ukamkubalia roho inahifadhi. Baadae itawasiliana na nature kua fulani anapenda wanaume wa umri fulani kisha nature itakuletea mwingine kama suggestion. ukikubali tena na tena basi ndio itakua tabia yako kabisa. Hii ipo kwa kila kitu iwe kibaya au kizuri.

Je, tufanyaje ili kuepuka mambo mabaya yanayotuandama?

Kwenye Computer ili kuziepuka cookies baada ya kutumaliza kuperuza mitandaoni inatakiwa uende upande wa setting kisha chagua Clear Cookies ili kuondoa kumbukumbu zote zote za kuperuzi siku hiyo. Kwa upande wa Google kubaki na taarifa zako. Huwa tunashauri kutumia Search Engine ya Duck Duck Go, Hii web ni nzuri zaidi maana hua ina clear taarifa zako zote baada ya kumaliza kuitumia..ina mengi mazuri ya kiusalama hasa kwenye taarifa za utumiaji wa kila siku (Browsing History). Jamani siipigii debe hii web, ni kuwaweka sawa tu na mada yetu hii. Sasa kuclear cookies au kuondoa mikosi kwenye maisha kuna mambo kadha ambayo tutayafanya.

Hivi ulishawahi kujiuliza kwanini mtu akitoka jela au mahabusu (kituoni) zile nguo alizoenda nazo huwa zinatupwa, pia itabidi aoge kabisa kabla hajaingia ndani, wengine huenda mbali zaidi kwa kuogeshwa dawa za mitishamba ili kuondoa mikosi. Hapo sasa ndio kitendo cha kuclearcookies. Wanafuta taarifa zote zilizomo kwenye roho zihusuzo jela. ni mfano tu huu ila hizi hapa chini ni njia zangu amabazo mimi kwa ufahamu wangu nadhani tukizitumia tutaweza kuondoa mshikamano wa mambo mabaya kwenye maisha yetu (Mikosi)​
  • Kujua Preferences zako
Ili kuondoa kushikamana na mambo mabaya maishani inabidi mtu ujitambue wewe binafsi unapenda nini hasa. Je unapenda Kuwa mwema? Unapenda kuiba?unapenda mwanamke wa namna fulani?unapenda mwanaume wa aina fulani nk nk.. ukishajua ukipendacho basi futa yale uyapendayo nawe yatakua yanashikamana nawe.

Hatima yako ipo mikononi mwako, usiache Nature ikuchagulie Hatima yako kwa vitu ambavyo hupendi. Hivyo basi tukisha tambua yale tunayoyapenda na kuayafuata tutaifanya nature ituletee yale pia mabayo tunayapenda.Hapo tutakua tumekwepa kufuatwa na mabaya.​
  • Kujiondoa kwenye mikosi. (Kuclear Cookies maishani)
Jamani maishani huwezi kua smart muda wote Nature always win!!!, ipo siku utanasa tu. Sasa hapa labda tuseme umeshavuruga mambo maisha yamejaa mikosi na mabaya yanakuandama. Hapa sasa tutaangalia jinsi ya kuondoa hayo mambo.

1. Tutumie Chumvi na maji, Usishangae sio uganga wala uchawi. Chumvi ni dawa nzuri sana kwa binaadamu nadhani member wengi wameielezea sana humu, sina haja ya kueleza zaidi. Cha msingi chukua chumvi ile ghafi ambayo haijapita kiwandani changanya na maji kisha nuia unavyotaka kisha oga. Hata nabii Ezra aliambiwa na Mungu achanganye maji naNchumvi kisha kuwapatia wana wa Israel wajitakase, ndio maana kwetu RC kuna maji ya baraka yenye Chumvi.

Kama utakua karibu na bahari itapendeza kabisa wewe ni kwenda na kujitupa tu majini maana huko chumvi kibao

2. Mshirikishe Mungu unayemuamini hata kama ni mzimu, hapo inabidi uombe toba kabisa, mweleze mapungufu yako na mahitaji yako kua unataka kuwa mtu mpya, mambo mabaya hutaki kushirikiana nayo. Piga sala sana na ibada kadri uwezavyo. Almighty atakuelewa na kukusafisha uwe mpya.

Maisha bana is all about determing yourself akina mshana jr na wenzake, manabii na mashehe Sharifu wanatuibia tu kwa kuwa wanajua elimu tunayo kidogo, hatujitambui. Tujifunzeni kujitambua hatutasubiria kuombewa na nabii. Wao wanacheza na Psychology ambapo huko watu wengi ni watupu sa tunapigwa tuuu!!!

NOTE. Ahsante Mungu kwa yote uliyonijalia hasi umeniwezesha kuandika mada hii.
End....

Kama umepende Like, Comment then share kwa wenzio.

~Da'Vinci
el maestro.
Leo nimetimiza masaa 211,968 duniani..
Bado safari yangu ya kutafuta na kutimiza na kuishi purpose yangu ya kuja duniani hapa haijafika kikomo.
Natumaini nitafanikisha kuiishi purpose yangu✌️
May The Almighty Guide me
 
Nimenote ku-search kwa Duck Duck Go na kuoga maji yenye chumvi isiyopita kiwandani
Guys hivi nimeeleweka kweli? Maana japo nimeandika mm nimejaribu kusoma ila naona kama sielewi hivi..Bahati mbaya sina njia nyingine ya kuandika hii post ikaeleweka😔😔 😢😢
 
Asante ndugu mleta mada. Kwetu wageni wa jf
Naomba niulize nje ya majadiliano/somo
1. is Da'Vinci=Denvers?
Denver ni mjii huko Corolado na Danvers ni jina la kiume. Da'Vinci na Danvers ni majina nayoyatumia humu. (Though I decided to stick with Vinci)
2. Professional ya Da'Vinci wa duniani ni ipi?
Da'Vinci mimi....?
3. What is Da'Vinci doing for his living?
Vibarua vya ujenzi na kulima
Nataka nijifunze jambo kwa swali langu la 2&3.. Its like this guy is gifted.
Yeah I'm kinda Gifted but not that special. Mimi ni mjumbe tu Kuwafikishia ujumbe nyie hadhira. Mungu hunifunulia na kunitumia nifikishe vitu fulani kwa mnaonisoma humu!
 
1633192754615.png
 
Duuh leo ndio inajibiwa, ulijibu wote kasoro wenye mikosi wachache
Hii ID ilipotea muda mrefu sana mwaka na miezi. Labda notificación hukuiona kipindi hiko Natumaini niliijibu.
Huna mikosi kabisa and you won't be
 
Back
Top Bottom