Je unaamini katika mambo ya nyota(zodiac signs)?

Umeanza lini kukosa adabu na dada zako? 😥

Halafu hii ni kweli, unajua wateja wanasahau hadi chenchi.. mi kuachiwa laki mbili kawaida ujue..!!

Unaweza ukampa mteja hesabu ya mzigo wake ukashangaa anajiongezea mwenyewe hakumbuki kudai..!!

Juzi hapa kuna msanii mkubwa nchi jirani kaagiza mzigo kalipia, na kaacha kama million 3 hakumbuki na ndo kwanza kaweka order mpya ya mzigo..!!

Yapo mambo mengi ambayo mengine siwezi kushare hapa. Nikikusimulia utabaki mdomo wazi..!!
Hiyo inaitwa halo effect inawapata wadada warembo warembo. Hakuna cha ajabu.
 
Wenzio wameamka huko
Mtu anatafuta mchumba anachagua mpaka herufi ya jina la mchumba lianzie herufi fulani ama Fulani na mwezi wa kuzaliwa,tarehe nk

Nachoka Mimi...
Hizo ni fumula zinazotengenezwa na wahuni. Kwenye vitu vingi hadi hivi ambavyo haionekani dhahiri ndivyo vinatumiwa kuibia watu mkuu. Wala usiingie kwenye huo mtego.
 
Fafanua nielewe..!!

Ngoja nikueleze kitu kuhusu mimi..

Iko hivi, mimi naweza nikaingia duka la mtu halina mteja hata mmoja. Lakini Kitendo cha kuingia basi wateja wanajaa ghafla.
Nikiondoka nao wanaondoka..!!

Kuna siku nilikua stereo nilipofika meza ya dagaa ajabu wakaongezeka wateja wengine wengi.
Nilipoondoka nao wakaondoka..
Yule mmama muuza dagaa akaniambia “Una nyota kali”

Na sio sehemu moja ni nyingi, hiyo ni mifano tu.!!

Unaweza kuniambia hiyo ni sehemu ya nyota?
Wewe unachouliza jibu lake ni katika nyota .
Kufupisha mambo ni kuwa hujachafuliwa hiyo nyota ako
Nikiri hao waliokuzunguka ni mafala maana wanawake wa aina yako hata mtu akikushika mkono tu siku hiyo lazima apate pesa sasa kama kuna wanaume unakaa nao halafu wanakuchekea tu badala hata ya kukuloga wakutumie kwenye mafanikio ni mafala.
Shida ya watu wenye nguvu kama wewe hata aje Rais huwa hamuogope mnajiamini kuliko Simba.
 
Umeanza lini kukosa adabu na dada zako? 😥

Halafu hii ni kweli, unajua wateja wanasahau hadi chenchi.. mi kuachiwa laki mbili kawaida ujue..!!

Unaweza ukampa mteja hesabu ya mzigo wake ukashangaa anajiongezea mwenyewe hakumbuki kudai..!!

Juzi hapa kuna msanii mkubwa nchi jirani kaagiza mzigo kalipia, na kaacha kama million 3 hakumbuki na ndo kwanza kaweka order mpya ya mzigo..!!

Yapo mambo mengi ambayo mengine siwezi kushare hapa. Nikikusimulia utabaki mdomo wazi..!!
nyota
 
Fafanua nielewe..!!

Ngoja nikueleze kitu kuhusu mimi..

Iko hivi, mimi naweza nikaingia duka la mtu halina mteja hata mmoja. Lakini Kitendo cha kuingia basi wateja wanajaa ghafla.
Nikiondoka nao wanaondoka..!!

Kuna siku nilikua stereo nilipofika meza ya dagaa ajabu wakaongezeka wateja wengine wengi.
Nilipoondoka nao wakaondoka..
Yule mmama muuza dagaa akaniambia “Una nyota kali”

Na sio sehemu moja ni nyingi, hiyo ni mifano tu.!!

Unaweza kuniambia hiyo ni sehemu ya nyota?
umebarikiwa
 
Mambo ya kike kivipi..?
Hayo ni mambo ya ulimwengu wa roho nionavyo
Eti kisa mtu kazaliwa mwezi Mei, basi ana nyota ya fahali. Eti ni mbishi na ana msimamo.

Haipo kwenye quran wala bibilia.

Mwanaume anatoa wapi muda wa kuhangaika na hayo mambo?

Wanaume wa hivyo na wale washirikina wana chembe chembe za umama.
 
Na kwenu Muslims haya ndo mambo yenu...vipi?
Kwa upande wa Uislamu huo ni mlango wa ushirikina ni dhambi kubwa , wanafanya na kwenda wanajitoa ufahamu na naona sawa na kwenda kwa kuhani au mpiga ramli.

Kiakili naona ujinga , mfano ukiambiwa nyota yako mbaya Ina maana mtu umezaliwa tayari una mkosi internal ambao haujasababisha wewe kitu ambacho unfair mbaya zaidi hauwezi kutoa
 
Fafanua nielewe..!!

Ngoja nikueleze kitu kuhusu mimi..

Iko hivi, mimi naweza nikaingia duka la mtu halina mteja hata mmoja. Lakini Kitendo cha kuingia basi wateja wanajaa ghafla.
Nikiondoka nao wanaondoka..!!

Kuna siku nilikua stereo nilipofika meza ya dagaa ajabu wakaongezeka wateja wengine wengi.
Nilipoondoka nao wakaondoka..
Yule mmama muuza dagaa akaniambia “Una nyota kali”

Na sio sehemu moja ni nyingi, hiyo ni mifano tu.!!

Unaweza kuniambia hiyo ni sehemu ya nyota?
Kama ni hivi basi hata kwenye duka lako la vijora itakuwa ni patashika nguo kuchanika wateja wanakanyagana 😂
 
Wewe unachouliza jibu lake ni katika nyota .
Kufupisha mambo ni kuwa hujachafuliwa hiyo nyota ako
Nikiri hao waliokuzunguka ni mafala maana wanawake wa aina yako hata mtu akikushika mkono tu siku hiyo lazima apate pesa sasa kama kuna wanaume unakaa nao halafu wanakuchekea tu badala hata ya kukuloga wakutumie kwenye mafanikio ni mafala.
Shida ya watu wenye nguvu kama wewe hata aje Rais huwa hamuogope mnajiamini kuliko Simba.
Natamani kukusimulia zaidi, dah!
Kuna ukweli kwenye hayo usemayo..!!

Mwingine aliwahi kuniambia, dada una nyota kali usiichafue kwa kulala na wanaume hovyo wataichukua nyota yako..!!

Kuna rafiki yangu nilizinguana naye, alinitafuta kuniomba msamaha lakini mi nikagoma katukatu niliona kama napoteza muda kuwa na urafiki na mtu kila siku ana tabia za kunihudhi..!! Nikawa namkwepa.

Kuna siku alikuja akaamua anifungukie, eti mambo yake hayaendi akiwa mbali na mimi..!! Nikajua anamaanisha ile support ninayompa ya kifedha. Kumbe alikua anamaanisha kuna energy anavuna kutoka kwangu pindi anapokuwa karibu na mimi..!!

Yupo na mwingine naye hivyo hivyo aliwahi kuniambia, kuna muda nawakwepa najua watakua na imani za kishirikina na mimi na hivyo vitu tofauti..!!
 
Kama ni hivi basi hata kwenye duka lako la vijora itakuwa ni patashika nguo kuchanika wateja wanakanyagana 😂
Halafu hii ni kweli, nishawahi kuhamishwa mtaa na jirani yangu..!! 😹😹

Aka panda dau kubwa nimpishe akahisi nimemchukulia wateja wake..!!

Natamani kukusimulia hiki kisa kwa kirefu lakini nahofia asije kutokea mtu akaunganisha dot humu..!! 😹
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom