Je unaamini Binadamu alikuwa Sokwe?

Marco Seth

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2022
Posts
5,327
Reaction score
6,829
Charles Darwlin
He proposed that humankind originated from man-like apes (first quote) in Africa and that humans are most allied to chimpanzees and gorillas (second quote). Further, Darwin seems to have thought that our progenitors were more like chimpanzees than gorillas (third quote).

Na Theory of creation inasema
God made Adam from dust, in God's image, “the Lord God formed the man from the dust of the ground and breathed into his nostrils the breath of life, and the man became a living person”(Genesis 2:7)

We upo Upande Gani?
Na kwa nini wametufundisha shuleni kwenye History sisi tulikuwa ni apes
 
Mkuu ngoja kwanza kwani wazungu wa walitokana na nini?
 
Kwanza kabisa hiyo habari ya "binadamu alikuwa sokwe" umeipata wapi?
 
Charles Darwin kasema maneno hayo wapi? Weka hapa maandishi yake tuchambue neno kwa neno.

Watanzania wengi hamjui kusoma Kiingereza na hamjui kusoma kwa ufahamu (reading with comprehension).

Weka maneno ya Darwin tuyahakiki hapa.
anafananisha ila sio kuwa Mtu alikuwa ni sokwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…