Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,243
Du.Hongera.Sijapata picha mnafanyaje hiyohuduma.Ila all the best
Nina biashara zangu. Muda wa Ziada najitoleA
Sitaki Kuwa adopt ninachokifanya ni kuwapa company na guidance as a father. Watoto wanahitaji mapenzi na malezi ya baba na mama. Hii huduma natoa kwa nyumba kadhaa na tunaotoa huduma Hii tupo wababa sita, na wewe unakaribishwa Kama Una nia na dhamira ya dhati ya kuwa na taifa bora
In a world full of perverts, ni mama yupi atakuachia mtoto hivi hivi eti umlee.
Dude please.
Don't quit your day job because none is coming your way.
Watoto wote wanalelewa majumbani mwao tunachokifanya ni kuwafuata huko huko
Pardon me but sielewi. Its not adding up.
Upo katika shirika?
whats in it for ypu
Huyu anataka atutrrombee ma ex zetu mmoja baada ya mwingine
Huyu anataka atutrrombee ma ex zetu mmoja baada ya mwingine
Teh teeeeh. Si bora hao ma ex.
Watoto wetu wapo salamaaaaaa?
Hao max unawahitaji kwani?