upuuuzi huohuo ndio ulikuleta kwa dunia😂Huu uzi naona vijana ,mnajadili maupumbavu .
Jana nimechakata 2 kwahiyo idadi imefika 48 kwa mwaka huu tu natarajia mpaka mwaka uishe nitafikisha 100 na hilo ndio lengo langu katika kazi hii ya uchakataji
Je, una miaka mingapi na ulishafanya mapenzi na wanawake/wanaume wangapi mpaka sasa?
Binafsi mpaka sasa ndio nimetimiza miaka 25, lakini wanawake niliochakata mpaka sasa nilioweza kuwakumbuka na kuorozesha majina yao mpaka sasa wamefikia 83 ,
Kuna wengine niliopita nao mara moja moja nimewasahau, kuna niliokula tu bila kujua ata majina yao nimesahau
inshort sina idadi kamili ila ni kuanzia 83+
Je, wewe umefikia wangapi?
Kinyonge sana sema nini,unawaambia nini wale wanaosemaga nyama ni ile ile,wako right or wrong kiasi gani?Nina enda 27
Ila nimepita na wanne (4) Tu
Can you imagine ?
CV yangu ni kubwa lakini sijawahi kuona faida yake.
Nilianza kwenye kibaba na mama, nikaenda kwenye kufanya matusi, Kisha nikajongea kwenye kudinya kabla sijaanza kumimina mijibao.
Orodha ndefu iliyojaa kichefucuefu, uzinzi si jambo la kujisifu, ni udhaifu
Nilisha acha. Nina degree ya gono, syphilis na watoto kibao, Namshukuru Mungu sikupata ukimwi
Kinyonge sana sema nini,unawaambia nini wale wanaosemaga nyama ni ile ile,wako right or wrong kiasi gani?
Nimekumiss[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]