Watu walio na X kiganjani wana ubongo wa tembo kusahau kwao ni mwiko.
Watu wenye X wana uwezo wa kipekee wa kugundua UONGO. Hawatakuacha kwa kusema uongo mbele yao.Ninayo mikono yote, ndio inakuwaje hapo! 😳😳😳
Hili nakubaliana nalo kwa asilimia nyingi, na watu walio zaliwa September to October wengi wana hii alama na ni watu makini sana japo wapo wengine waliozaliwa ktk miezi tofauti.Palmistry ni njia ya zamani ya kutabiri siku zijazo na kutafsiri utu wa mtu kutoka kwa muundo wa mistari ya mikono.
Wakati mwingine mistari hii inaweza kuunda hata nambari na herufi. Moja ya herufi hizi inaweza kuwa herufi M, maana yake ambayo imechunguzwa na watu wengi wa ajabu. Kama wengi wanavyoamini, mistari kwenye kiganja inaonyesha tabia na hatima yetu.
Herufi M imepewa watu maalum kweli. Wamejaliwa uvumbuzi wa ajabu na wanawakilisha washirika bora kwa biashara yoyote. Ikiwa watu unaowapenda wana herufi maalum M ndani ya kiganja cha mkono, inabidi ujue kwamba huwezi kumdhihaki na huwezi kusema uwongo au kumdanganya mtu huyo kwa njia yoyote ile.
Kuwa na akili sana na angavu, watu walio na herufi M kwenye kiganja cha mkono wao hugundua kwa urahisi kuwa wanadanganywa au kudanganywa. Wanawake ambao wana herufi M kwenye kiganja chao wana intuition yenye nguvu zaidi kuliko wanaume, hata wale ambao wana herufi hii. Wamejaliwa uwezo wa kusimamia na kushinda kikwazo chochote maishani, na wanajua jinsi ya kutumia rasilimali na fursa zinazotolewa kwao.
Herufi "M" kwenye kiganja chako inaweza pia kumaanisha:
• Ujuzi wa uongozi
• Je!
• Furaha
• Fursa bora Kulingana na mila maarufu, ishara hii ni tabia ya manabii ...
Kwa hivyo ikiwa una herufi hii mkononi mwako, wewe ni mtu maalum! Watu wengine huwa nayo kwenye mkono mmoja na wengine kwenye mikono yote miwili.
View attachment 2688351
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi nina M mikono yote tena kwa ubora kabisa na nina Group O +, licha ya kwamba ni heredity casesNimekuuliza kwa makusudi.
Mikono yangu yote ina M
Lakini mkono wa kushoto imejichora vizuri zaidi.
Nina group O.
Na watu kadhaa wenye M
Nimegundua wana group O, ndio maana nikauliza kuna uhusiano wa M na group la damu la O?
Ukinijibu pia nitakuongezea tabia nyingine
Nafikiri hivyo piaHata mimi nina M mikono yote tena kwa ubora kabisa na nina Group O +, licha ya kwamba ni heredity cases
Na Wewe tukuitie mbaya wako GENTAMYCINE ambaye humuwezi pamoja na Kumshambulia Kwako na ID's zako tatu tofauti tofauti hapa JamiiForums?
Naomba uwe mvumilivu bado sijapata jibu la uhakikaJibu limekuwa gumu mzee baba?
Sawa kaka
Hii mbona km Z kbsaaUnamaanisha hiiView attachment 2688354
Umekwisha mkuu, hiyo ni Y I Y. Wahi kwa sheikh Sharif Majini haraka mno.
Ni M sio XWatu wenye X wana uwezo wa kipekee wa kugundua UONGO. Hawatakuacha kwa kusema uongo mbele yao.
Aende kwa Mwamposa kama vipi.
Unataka tumpoteze kijana wetu mkuu
Yani mkono wangu niende kwa majini!!?Umekwisha mkuu, hiyo ni Y I Y. Wahi kwa sheikh Sharif Majini haraka mno.
Shukran sana
Basi mcheki Mwamposa chap chap.Yani mkono wangu niende kwa majini!!?
Maana yake ni nini mkuuBasi mcheki Mwamposa chap chap.
Elon Musk hana herufi M kwenye kiganja chakeWamejaliwa uvumbuzi wa ajabu na wanawakilisha washirika bora kwa biashara yoyote. Ikiwa watu unaowapenda wana herufi maalum M ndani ya kiganja cha mkono, inabidi ujue kwamba huwezi kumdhihaki na huwezi kusema uwongo au kumdanganya mtu huyo kwa njia yoyote ile.
X ni zaidi ya MMstari wa moyo ndio umenikosesha M..umekatika!