Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,775
- 699,200
- Thread starter
- #181
Naomba unisaidie kuwaambiaElon Musk hana herufi M kwenye kiganja chake
Mshana Jr
Hizo ulizoandika hapo ni sifa za wenye herufi X kwenye kiganja sio M
Hiki ni kiganja cha ElonView attachment 2697742
Kingine waambie ni Mkono wa kushoto sio Mkono wa kulia
![](http://emoji.tapatalk-cdn.com/emoji1545.png)
Sent using Jamii Forums mobile app