Je umri wako na uzito wako viko sawa?

Kwa watu wazima: Mahusiano kati ya Uzito wa mtu na Urefu wake unaitwa Body Mass Index (BMI).

BMI = Weight(Kg)/Height(meter square).

Mfano: Weight = 75kg, height = 175cm au 1.75meter

BMI =75/(1.75x1.75) = 24.5 kg/m2

Angalizo: <18.5 = Underweight, 18.5 - 24.9 = Normal weight, 25 - 29.9 = Overweight, 30 - 34.9 =Obesity class 1
35 - 39.9 = Obesity class 2, >40 = Obesity class 3.

aksante,unanikumbusha jf ya enzi zile uki log in lazima upate kitu knowledge yenye maana,sio sasa kitu kashfa na matusi!
 
Duh! Nina 170cm halafu kilo 58??? Ngoja nipunguze shughuli ambazo siyo za lazima aisee..!
 
Nimezidi 10kg, jamani najaribu kuziuwa lakini zimekataa, nakula healthy nikimaanisha nimekata wanga na mafuta kwa wingi, no red meat na natumia muda wa masaa 3 gym lakini naona zimegoma kushuka.

Nisaidieni.
 
Acha roho mbaya na hasira utapungua tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom