Je umri wako na uzito wako viko sawa?

Je umri wako na uzito wako viko sawa?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,029
Reaction score
59,684
............... kilo.jpg
 
Attachments

  • kilo.jpg
    kilo.jpg
    25.3 KB · Views: 471
mwe..muache dada preta bana ...wewe huwezi jua kuwa huo uzito wote umetokana na nini....hujui kuwa lenyewe tu linaweza kuwa na kilo zaidi ya 20

na usiulize ni li nini hapo underlined

hahaha,mi simo
 
Kuna mtaalamu mmoja wa nutrition alinambia kuwa nusu ya uzito wako ndo inatakiwa uwe uzito wako.
So kama una 180cm na kilo zako zatakiwa kuwa 90kg
 
Kuna mtaalamu mmoja wa nutrition alinambia kuwa nusu ya uzito wako ndo inatakiwa uwe uzito wako.
So kama una 180cm na kilo zako zatakiwa kuwa 90kg

Ali kuambia na formula ya kuangalia kama kwenye malnutrition,over weight or obese?
 
Wapendwa mie nna 183 nina 75kg. Natumia kamchina nipeni majibu.
 
mwe..muache dada preta bana ...wewe huwezi jua kuwa huo uzito wote umetokana na nini....hujui kuwa lenyewe tu linaweza kuwa na kilo zaidi ya 20

na usiulize ni li nini hapo underlined
Hahahaha!!! Ivuga
 
Kwa watu wazima: Mahusiano kati ya Uzito wa mtu na Urefu wake unaitwa Body Mass Index (BMI).

BMI = Weight(Kg)/Height(meter square).

Mfano: Weight = 75kg, height = 175cm au 1.75meter

BMI =75/(1.75x1.75) = 24.5 kg/m2

Angalizo: <18.5 = Underweight, 18.5 - 24.9 = Normal weight, 25 - 29.9 = Overweight, 30 - 34.9 =Obesity class 1
35 - 39.9 = Obesity class 2, >40 = Obesity class 3.
 
DUUUUUU nipo 160cm ila nina 82 kgs

Ngoja nianze kujinyima ugali nipunguze uzito
 
Kuna mtaalamu mmoja wa nutrition alinambia kuwa nusu ya uzito wako ndo inatakiwa uwe uzito wako.
So kama una 180cm na kilo zako zatakiwa kuwa 90kg

'nusu ya uzito wako ndo inatakiwa uwe uzito wako?'= viroba vya ofa
 
Back
Top Bottom