mzalendo namba moja
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 720
- 1,318
Watalaam wasalaam!
Hasira hasara, je umewahi kukasirishwa sana na ulifanya kituko gani?
Ngoja nianze, kwa kawaida mimi ni kijana mpole mkimya japo nikiwa na mtu ambaye tumematch chemistry ninachangamka kidesign though sipendi sana kampani na watu..being alone mostly naenjoy tu mitindo...
Before sijawahi kugundua kwamba nina hasira, nikiwa nyumbani after college miaka imepita kidogo, with my young bro ambaye kwa haiba ni muongeaji na mkorofi, so nikaconnect simu chaji then after nikawa room nimelala nikitegemea baada ya muda nitachukua phone yangu niendelee kutumia, after 3 hours hivi nafuata simu yangu, nakuta haina chaji hata kidogo, imechomolewa kwenye chaji na imewekwa simu nyingine na huyo mdogo wangu, halooo, sthn kama pepo lilipanda nikaanza kutetemeka, macho yakawa mekundu na kila mtu akaniogopa and so I took my phone nikaweka mfukoni na nikachukua ile simu yake nikaivunja kwa kuipasua ukutani...all happen suddenly na baadae nilijiuliza nini kilitokea na nikajilaumu sana, hilo likapita hivyo....
Some years passed, nikiwa nimerudi home pia siku moja, nilikuwa na mdogo wangu wa kike vilevile, anapenda kuchat ama kutumia simu hata zaidi ya kula, sasa tulikuwa matatizo ya maji mtaani, hivyo yanapotoka inabidi yajazwe ndani ili tusipate shida yakikatika tena, so binafsi nilikuwa naumwa miguu hivyo nisingeweza kuhamisha maji kwa ndoo kutoka nje kuleta ndani and so nikamtaka dada yangu mdogo achote.....
So kila nilimwambia anaitikia but hachoti, ikawa hivyo..nikimwambia ataitika lkn hachoti, halooo nikamfuata chumbani kwake, nikamkuta anachati na simu, aiseee I took the phone na bila mjadala niliisaga saga na kipondo heavy sana, ilivuruga amani na nikajisikia vibaya baadae but what happened happened.....
2022 wakati wa sensa, nikiwa nimekosana na mke wangu naye akawa amehama chumba, so nikiwa chumbani na kishikwambi cha serikali na update app ya sensa then after she came akawa ananiuliza kitu fulani, sikufocus kwake tho nilimsikia na nikawa namjibu, unajua just sudden alikirukia kishikwambi changu na akakimbia living room na alipasua😂😂😂, it wasn't fun, something came in me so sudden....
Nilichukua simu yake, alinunuliwa na mzazi wake 2M hata before hatujaoana, niliigonga ukutani na ikawa unga in a blink, plus yeye na shangazi walianza kuangalia tv mpaka saa 7 usiku so nikaunganisha kuipasua tv hiyo,iliniuma baadae lkn they were the bygones.....
So I found mimi si mpole but ni mkimya...
Wewe umewahi kufanya kituko gani kama matokeo ya hasira???