MWANDENDEULE
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 3,886
- 6,632
Sorry, nilizingatia tu muda ulioleta uzi, na rais wa sasa (Samia)Ukisoma nimeandika kwa wakati huo tulipo onana ni miaka mingi sana iliopita.
Lunatic
Sorry, nilizingatia tu muda ulioleta uzi, na rais wa sasa (Samia)Ukisoma nimeandika kwa wakati huo tulipo onana ni miaka mingi sana iliopita.
Lunatic
Kuna watu wengine walizaliwa kuongoza nikimfikiria nyerere huwa sipati mwisho
wewe dogo ujawahi fika marekani wacha porojo zako ww
Ukimliza Nyerere mfikirie Jiwe sasa.Utajua ile ilikua ni bongo bahati mbaya.
Umeshawahi kuendesha Jeep?
😄😄😄ndo gari yangu nnayotembelea kila siku
Kwa kuzingatia jinsi teknolojia ilivyosambaa hilo swali alilowauliza angeweza iuliza simu yake na akagewa majibu.
Kuna namna hii stori yako haiingii akilini.
Sasa mkuu 2001 rais alikuwa Kikwete? Kwanini lakini mnavuta bangi?Ilikuwa mwaka 2001 mwezi wa May
Lunatic
rais ni kikwete sio ?
kitu cha olkokola itakuaMuuliza swali na wajibu swali walikuwa wapiga kitu cha Arusha wakiwa wametulia zao pembeni mto fulani hapa hapa Tz
2001 rais marehemu MkapaIlikuwa mwaka 2001 mwezi wa May
Lunatic