Je umeona nn kwenye hyo picha.

Je umeona nn kwenye hyo picha.

Nyoka anaefanana na magome ya mti,anapanda na huo mti...sijui washafika washindi watano?kama ndiyo basi sio dhambi ila nimepata elimu kwamba niwapo porini nisiamini sana miti nitakayotaka kuiegemea.
 
nk2.jpg
 
Back
Top Bottom