Je umeona nn kwenye hyo picha.

Je umeona nn kwenye hyo picha.

Teh teh..Unanikumbusha sec..Baada ya topic ya logarithm kunikaa kichwani basi utakuta kaswali kadogo tu cha mlinganyo wa kawaida naapply log..Zen baadae ndo nashtuka kwamba nazurula bila mpangilio

Ha ha ha, log ukiijua mwembwe sana, eti apply logarithm to base 10 on both sides.
 
Teh teh..Unanikumbusha sec..Baada ya topic ya logarithm kunikaa kichwani basi utakuta kaswali kadogo tu cha mlinganyo wa kawaida naapply log..Zen baadae ndo nashtuka kwamba nazurula bila mpangilio


Haha, kumbe tupo wengi! Its like you have bought a new gun, you wish to shoot at everything!
 
Naona sura za watu na watoto wadogo tena wengi kweli
 
Kuna jamaa kajikunja kwa mbaaaaali anakata gogo, upande wa kushoto
 
Katika huo mti kuna macho mdomo na pua kama sura ya mtu
 
Back
Top Bottom