Je umeona nn kwenye hyo picha.

Mgirik

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
13,208
13,233
Watano wa mwanzo kupata atazawadiwa ELFU 10
1459349100435.jpg
 
Kwenye huo mti pameandikwa hivi:
" HII NI MOJA YA MADHARA YA KUVUTA BANGI SIKU YA KWANZA, MTU HUONA YASIO KUWEPO!" Sijui na wewe umeyaona maneno hayo?
 
Ndo tatizo hilo, ticha anatoa swali 3+7=?

Watu wanashindwa kujaza kumi kwa kuwaza eti kuna mtego. Haiwezekani swali liwe rahisi namna hiyo.
Teh teh..Unanikumbusha sec..Baada ya topic ya logarithm kunikaa kichwani basi utakuta kaswali kadogo tu cha mlinganyo wa kawaida naapply log..Zen baadae ndo nashtuka kwamba nazurula bila mpangilio
 
nilitegemea kuigia majibu hapo juu ila nao hawaeleweki acha nisuburi majibu ya hapo chini........
 
Back
Top Bottom