Kabula ambacho umesahau ni kuwa huwezi kuendesha taasisi ukiwa na rundo la vihiyo , haiwezekani, ile ni taasisi inayolisha watu , ni taasisi inayotegemewa kuelimisha umma, huwezi kutegemea Vipaji na talanta bila elimu katika ulimwengu wa leo.
KWA HIYO AKINA PROFESSOR JUMANNE MAGHEMBE, PETER MSOLA, elimu zao zimetusaidia nini? Pinda na elimu yake , amemzidi Sumaye kwa kiasi gani?
Professor Beno Ndulu, na Jaji Augustino Ramadhani nani kasoma zaidi? Sasa unaweza linganisha Professor Beno na Jaji Ramadhani?
Msiwaponde sana hao jamaa, ni bora tu muwashauri kuongeza ujuzi, lakini talent wanazo, na hiyo haina mjadala. Halafu hakuna mwenye uhakika na hizo data...si ajabu wamesoma zaid i ya hapo. Ni vigumu kuni convice kwamba PJ hajasoma, maana urguments zake ziko makini sana...