Je, ulishawahi kuhisi kwamba mpenzi wako anakusaliti?

Yes

X wangu huyo, alikuja mkoa niliokuwepo wakati huo na kuondoka bila kuniambia kumbe walikua wanaenjoy na bff (shoga) wangu wa pika pakua!!! Nilihisi na nikaja kuaminishiwa na shemeji yangu nikapewa story ya mchezo mzima ulivyokuwepo
Shemeji alipata zawadi gani baada ya kukuaminisha?
 
Back
Top Bottom