Je, ulishawahi kuhisi kwamba mpenzi wako anakusaliti?

Yes

X wangu huyo, alikuja mkoa niliokuwepo wakati huo na kuondoka bila kuniambia kumbe walikua wanaenjoy na bff (shoga) wangu wa pika pakua!!! Nilihisi na nikaja kuaminishiwa na shemeji yangu nikapewa story ya mchezo mzima ulivyokuwepo
 
Yeye yupo mbali, wakati wa likizo alikuja kwangu naona simu yake ana mawenge nayo hataki nione kilichopo. Nikamwambia wewe una mwanaume, akanambia kuwa ila kuna jamaa huwa anamtongoza ila ni ana mke. Mpaka leo nimeona nikae kimya mpaka atakapochagua yupi ni sahihi.
 
Yeah kuna muda nahisi anaweza akawa na mwanamke mwingine hawa viumbe siyo wa kuamini inatakiwa umwamini kidg tu yan inatakiwa ukae nae kama vile muda wwte waweza pigwa tukio


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mimi baada ya kusafr alivofika kwao tu akaanza badilika nikaona isiwe kesi nikaanza fanya uchunguz kumbe kule kwao alikuwa na jamaa ake sas alivofika alikuwa hamtafuti yule jamaa sas mshikaj alivojua manz kaja na hana time nae ikabd amuwinde mpk akampata mshikaj nae ikabd achukue simu ya manz ajue nin shida ndo kuja akanitafta kwamba nakula mzgo wake majibu niliyompa mwamba nahisi alichoka na mm ikabd arudishe simu kwa manz kiutulivu sas sijui kinachoendelea huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom