Ulishawahi kutokewa na jambo hili?

curie

JF-Expert Member
Oct 25, 2020
664
1,489
Ulishawahi Kuwepo Sehemu,

Kwa mara ya kwanza...

While uko hiyo sehemu,
Kuna hali ikakujia...

Kwamba hiyo sehemu,
Ulishawahi kuwepo?

Si hivyo Tu,

Kila tukio linalofanyika,
Kwa wakati huo...

Lilitokea Exactly na,
Kinachoendelea Muda huo?

Uliwahi pata jibu?

Je, nini huwa kinatokea? .
 
Naaaaaam na au unakutana kabisa na MTU au Watu au Tukio Fulani ukiwa hapo, lakini fikra zako zinakuambia kuwa hicho au Hilo Tukio sio geni.....
 
deja vu
Ulishawahi Kuwepo Sehemu,

Kwa mara ya kwanza...

While uko hiyo sehemu,
Kuna hali ikakujia...

Kwamba hiyo sehemu,
Ulishawahi kuwepo?

Si hivyo Tu,

Kila tukio linalofanyika,
Kwa wakati huo...

Lilitokea Exactly na,
Kinachoendelea Muda huo?

Uliwahi pata jibu?

Je nini huwa kinatokea? .

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
De javu.
Kuona vitu kama umewahi kuviona au kuexperience hayo mazingira. Inatokea pale temporal lobe ikashirikiana na memory yako.

Unachowaza , unachofikiria na kuona. Kwahiyo hamna kitu kama kuwaza kwba vyte vimetokea. Bali ni brain yako na memory na mafikirio yako ndio yanatengeneza hko kitu.

Na hutokea sana ukiwa kimya unafikiri kitu au unataka kufanya tendo flani. Ndio maana huwezi elezea kinachotkea. Ukitaka kusema ndio kinaishia hapo hapo kile kifikra
 
Déjà vu (/ˌdeɪʒɑː ˈv(j)uː/ ⓘ[1][2] DAY-zhah-VOO, -⁠VEW, French: [deʒa vy] ⓘ; "already seen") is the phenomenon of feeling as though one has lived through the present situation before.[3][4][5][6] It is an illusion of memory whereby—despite a strong sense of recollection—the time, place, and context of the "previous" experience are uncertain or impossible.[7][8] Approximately two-thirds of surveyed populations report experiencing déjà vu at least one time in their lives.[9][10] The phenomenon manifests occasionally as a symptom of seizure auras, and some researchers have associated chronic/frequent "pathological" déjà vu with neurological or psychiatric illness.[11][12][13] Experiencing déjà vu has been correlated with higher socioeconomic status, better educational attainment, and lower ages.[9][10][11][12] People who travel often, frequently watch films, or frequently remember their dreams are also more likely to experience déjà vu than others.[9][14


kwa msaada wa Mtandao
 
Back
Top Bottom