The golden
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 1,381
- 2,553
Hakuna kitu kinakatisha tamaa kama kufanya kazi ambayo unatishiwa kufukuzwa kila siku. Hali hii inauwa kabisa ubunifu na uchapa kazi maana huna uhakika na kesho yako.
Au ulishawahi kuwa na cheo au nafasi ambayo kila siku unatishiwa kutenguliwa?,
Katika sekta ya elimu kuna cheo fulani leo sitakitaja. Hiki cheo ni tabu tupu. Vitisho haviishi. Kila mtu anakutishia kukutengua. Kila mtu ni Boss wako. Ni cheo chenye changamoto nyingi sana. Watu hawana amani ni vitisho tu. Nafasi hii ni mzigo mzito sana.