Je ulipata kusiakia asili yake.........?

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
eneo la MSASANI---- asili ya njina hili ni mtu mmoja alikuwa akiishi maeneo hayo enzi hizo, alikuwa akiitwa MUSA HASANI, asili ya jina kuwa hiyo ni wenzetu wamakonde kwa wakati huo ndio walikuwa walinzi wa majumba yanayojenga hivyo kwa rafudhi zao walishindwa kutamka MUSA HASANI na kuwa mchachani.
2. eneo la buguruni KWA MNYAMANI--- asili ya jina hili alikuwepo mtu akiitwa MWINYI AMANI, alimiriki eneo kubwa na la ardhi,
3. KARIAKOO---- lilikuwa ni eneo la wabeba mizigo carrier cargo babu zangu kiingilish kiliwapa taabu ktk kutamka likazuka hilo la kariakoo.............
 
Hapo CARRIER CARGO NI CARRIER CORPS
 
Back
Top Bottom