madhabaunyeusinyeusi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2016
- 200
- 98
Katika maaandiko takatifu yesu arijaribiwa na shetani kwa kumuambia badli jiwe hill kua mkate lakini aksema siwezi mjaribu bwana mungu wangu, JE? kama wewe mwana JF ikatokea shetani akakujaribu kila jani la mwembe kua noti ya ELFU KUMI umsaliti mwokozi wako kwa haraka nini utafanya?