Je, uchawi upo au ni uzushi tu?

Je, uchawi upo au ni uzushi tu?

Uzushi tu. Vinginevyo wangemloga Trump, Putin, na wengine wengi. Ingekua uchawi unafanya kazi, wazungu wasingehangaika na sayansi au viwanda ili kuendelea, wangefanya uchawi tu. Sisi pia, uchawi ungekua unafanya kazi, tusingekua Afrika ya shida na majanga leo hii.
 
Tumemloga mzee wa msoga mpaka tumechoka, na hakuna kitu kiichotokea....
Wanasema uchawi hauna nguvu mbele ya majini....
Tuko kwenye harakati za kumtupia jini subiani tuone....
 
Nadhani huwa ni propaganda na stori za uzishi tu. No proof ya uchawi, waganga wakienyeji wanapiga sana wajinga
 
Uzushi tu. Vinginevyo wangemloga Trump, Putin, na wengine wengi. Ingekua uchawi unafanya kazi, wazungu wasingehangaika na sayansi au viwanda ili kuendelea, wangefanya uchawi tu. Sisi pia, uchawi ungekua unafanya kazi, tusingekua Afrika ya shida na majanga leo hii.
Na watu wanavyo uamini hasa kwenye nchi yetu hii. Jana naona machifu wa Sumbawanga wametoka onyo kwa atakae andamana tarh 29 nadhani ni ujinga tu wa hawa wazee
 
Tuthibitishie kuwa uchawi upo, nikulete huku kwetu unionyeshe
Mbona una haraka?? Subiri ukikua utapata jibu, hata kama una 40+ inawezekana bado hujajua mambo mengi, wewe kua mvumilivu omba uzima, hata hawa wa jf unaowafuatisha wenye kauli kama yako ni suala la mda tuu.
 
Ukiona mtu anasema hakuna uchawi huyo ni punguani ni swala la muda tu aokote makopo

Pili anaesema uchaw hamna huyo sio mkristo wala muislamu wala mpagan sijui ni mtu kutoka jamii gani
 
Unaweza kutoa prove ya unayoyasema?
Kwahiyo kina Mimi na kina Kiranga unaweza kutuaminisha vipi unayoyasema??
 
Mbona una haraka?? Subiri ukikua utapata jibu, hata kama una 40+ inawezekana bado hujajua mambo mengi, wewe kua mvumilivu omba uzima, hata hawa wa jf unaowafuatisha wenye kauli kama yako ni suala la mda tuu.
😂😂😂Kuna vitu vya kijinga lakini Kuna mtu anaamini Kuna kitu kinaitwa uchawi 🙌🏻.
Mbona hatuwatafuti wampige Samia kimbola, tusiandamane 29
 
Uchawi upo kama una uamini ila kama auna imani nao nao aupo.
 
Back
Top Bottom