Mwisho wa simbilisi Kama wewe uko karibu sanaBahati nzuri unabwabwaja yote haya ukiwa nyuma ya keyboard tu, mi nilidhani uko mtaani tayari? Ndio uzuri wa Wadanganyika, maneno meeeengi vitendo sufuri! Pumbav.u!
Sitetei wizi ila unakosea sana...kila mtu ana haki ya nafasi ya kujitetea kabla ya hukumu....Report ya CAG na PCCB ni findings zao.....Mtuhumiwa pia anapaswa kuelezea upandewake wa hadithi..
Mpinge kwa hoja na si ushabiki
Ukweli Niko njia Panda sana katika hili.
Kwa hali ilivyo sasa, je tatizo ni nani wa kuaminiwa? PCCB na CAG au Muhongo? Je ni TRA na TANESCO waliosema sehemu ya hela ya escrow ilikuwa na VAT au porof Muhongo?
Toa msimamo wako
Hapa porojo sasa hazina nafasi, Prof. Apingwe kwa hoja yeye ameshashusha nondo zake anawasubiri tena
Kwanini TANESCOW hawakupeleka pesa hiyo ya kodi TRA na badala yake wakaipeleka IPTL???????????!!!! hapa ndo kichwa kitaniuma ingawa baadhi yenu mtasema nimemegewa. Ama TANESCO hawaijui account ya kulipia kodi kule TRA??????. mimi kila mwezi nakatwa kodi na wala siioni kwani mwajiri anaipeleka TRA halafu anaianiarifu kuwa xxx Tshs zimepelekwa TRA. Kama kweli ilitakiwa iwe hivyo ni nani aliyebariki uamuzi huo mbovu. IPTL ilikuwa kampuni ya kigeni TANESCO yetu kwa nini akusanye TANESCO halafu kukabidi iwe ni ​IPTL. BICHWA LANGU LAUMA KWA MASWALI YASIYO NA MAJIBU HAPA.
Prof.Muhongo ni mwizi wa pesa za umma hakuna cha maana alichojibu zaidi ya kupoteza muda wake.
Muhongo ni mwongo. Alete takwimu na vielelezo vya malipo ya kodi ya zile fedha ziliwekwa Escrow account.r
Alete utetezi ni kwani ni hisa ziuzwe milioni 6 USD halafu tra ipelekwe milioni 6 TSHs.
Kwlei wizi na uwongo havitenganagi.
We need back our money.
Kiroboto ndiye tatizo kama hujagundua; anafungulia watuhumiwa wabwabwaje kuuchanganya umma na kuua hoja kifisadi na pia kupoteza muda wafunike kombe. Ndugai hakutimuliwa bure hebu fikirieni vizuri hilo jambo
Hehehe Takwimu kwenye vielelezo vya Kodi umeona wapi wewe? Kwan tunaangalia nchi ama kampuni moja?
Mwisho wa simbilisi Kama wewe uko karibu sana
Zitto amekwisha waambieni ripoti ya Muongo sio verified na hata mahakama inalazimika kukubali ripoti ya cag, takukuru Tra etc kwa sababu ni vyombo husika.Kwa hali ilivyo sasa, je tatizo ni nani wa kuaminiwa? PCCB na CAG au Muhongo? Je ni TRA na TANESCO waliosema sehemu ya hela ya escrow ilikuwa na VAT au porof Muhongo?
Toa msimamo wako