Ukweli Niko njia Panda sana katika hili.
Halafu tukishafikiria ndio inakuwaje?Kiroboto ndiye tatizo kama hujagundua; anafungulia watuhumiwa wabwabwaje kuuchanganya umma na kuua hoja kifisadi na pia kupoteza muda wafunike kombe. Ndugai hakutimuliwa bure hebu fikirieni vizuri hilo jambo
Ukiona utawala uliopo madarakani ni kinara wa ufisadi hawawezi kukubali kuwa ni kweli wameiba.ushahidi wa pesa iliyogawiwa kwa mawaziri waliopita wa nishati,majaji, na mawaziri waliopo madarakani sio hisani ni rushwa ya wazi. Muhongo amezidi kudanganya umma huku akionyesha kiburi na jeuri kuwa zile pesa sio za umma.
Dawa ya hawa mafisadi ni kuwang'oa kwa nguvu Kama ilivyokuwa Burknafaso.la sivyo kikundi cha watu wasiozidi 100 watatuona watanzania wote 45 million+ Kama hatuna akili.
Wito kwawabunge:anzenikwanza kumuondoa Spika kwa kura ya kutokuwa na Imani naye kwa kuwaalichofanya si sahihi kutoa mud a kwa waziri anayetuhumiwa kujibu mashambulizi kabla ya mjadala.Huyu Makinda mkiendelea kumlealea ataendelea kutumika na mafisadi.wananchi tunasema insulate sasa.
Makinda akiendelea kuwalinda naye aondolewe mara moja.
Kwa hali ilivyo sasa, je tatizo ni nani wa kuaminiwa? PCCB na CAG au Muhongo? Je ni TRA na TANESCO waliosema sehemu ya hela ya escrow ilikuwa na VAT au porof Muhongo?
Toa msimamo wako
Si unatabasamu au?Halafu tukishafikiria ndio inakuwaje?
Si unatabasamu au?
Kisha ufute machozi ukijua umeliwaIli iweje? Kisha?
Na mwisho wa siku hiyo itakusaidia nini sasa?Kisha ufute machozi ukijua umeliwa
Tehe! tehe!! tehe!!!Na mwisho wa siku hiyo itakusaidia nini sasa?
mm nipo njia panda Himo/Moshi..wewe upo ya wapi mkuu
Kwa hali ilivyo sasa, je tatizo ni nani wa kuaminiwa? PCCB na CAG au Muhongo? Je ni TRA na TANESCO waliosema sehemu ya hela ya escrow ilikuwa na VAT au porof Muhongo?
Toa msimamo wako
Watueleze wananchi hizi fedha walizopewa wabunge ,maofisa WA serikali Na mawaziri walipewa kwa misingi gani Kama siyo rushwa?naona wanazunguka Tu hawana hoja za msingi.
Bahati nzuri unabwabwaja yote haya ukiwa nyuma ya keyboard tu, mi nilidhani uko mtaani tayari? Ndio uzuri wa Wadanganyika, maneno meeeengi vitendo sufuri! Pumbav.u!
Itachukua miaka elfu 6 kwa Wadanganyika kuja kufikia uelewa na level ya Wamisri na hata binadamu wengine nje huko! Kama huamini leo basi utakuja kushuhudia miaka elfu 6 ijayo!Jifunze kuheshimu mawazo ya watu...misri walianza kiuniuni tu kupitia social media...Burkina faso nao ilianza kiuni tu...ata hapa inawezekana cha msingi kujenga hoja mbele kwa masilah ya taifa.
Pesa kweli zimebebwa, Zirudi sasa.
Kwa hali ilivyo sasa, je tatizo ni nani wa kuaminiwa? PCCB na CAG au Muhongo? Je ni TRA na TANESCO waliosema sehemu ya hela ya escrow ilikuwa na VAT au porof Muhongo?
Toa msimamo wako