Kwa hali ilivyo sasa, je tatizo ni nani wa kuaminiwa? PCCB na CAG au Muhongo? Je ni TRA na TANESCO waliosema sehemu ya hela ya escrow ilikuwa na VAT au porof Muhongo?
Toa msimamo wako
Ina maana wewe unataka kupoteza muda wa kumwamini mwizi? Kusema hela za Escrow sio za umma, halafu utokaji wake kutumia utaratibu wa hela za umma huo uongo wa kudanganya mazuzu. Wao waachie madaraka, kisha tuwapandishe kizimbani na tuwafilisi.
Ova
Kwa hali ilivyo sasa, je tatizo ni nani wa kuaminiwa? PCCB na CAG au Muhongo? Je ni TRA na TANESCO waliosema sehemu ya hela ya escrow ilikuwa na VAT au porof Muhongo?
Toa msimamo wako
Ukweli Niko njia Panda sana katika hili.
Muhongo amejibu ukurasa kwa ukurasa ripoti ya PAC, wewe hayasijui unayatoa wapiMuhongo ni mwongo. Alete takwimu na vielelezo vya malipo ya kodi ya zile fedha ziliwekwa Escrow account.r
Alete utetezi ni kwani ni hisa ziuzwe milioni 6 USD halafu tra ipelekwe milioni 6 TSHs.
Kwlei wizi na uwongo havitenganagi.
We need back our money.
Kiroboto ndiye tatizo kama hujagundua; anafungulia watuhumiwa wabwabwaje kuuchanganya umma na kuua hoja kifisadi na pia kupoteza muda wafunike kombe. Ndugai hakutimuliwa bure hebu fikirieni vizuri hilo jamboKwa hali ilivyo sasa, je tatizo ni nani wa kuaminiwa? PCCB na CAG au Muhongo? Je ni TRA na TANESCO waliosema sehemu ya hela ya escrow ilikuwa na VAT au porof Muhongo?
Toa msimamo wako
mm nipo njia panda Himo/Moshi..wewe upo ya wapi mkuu
Mi Muhongo leo kuharibu siku yangu kabisa. PCCB na CAG ndivyo vyombo vya mwisho kwa uchunguzi na siyo propaganda za mwizi muhongo
Muhongo amejibu ukurasa kwa ukurasa ripoti ya PAC, wewe hayasijui unayatoa wapi
Kiroboto ndiye tatizo kama hujagundua; anafungulia watuhumiwa wabwabwaje kuuchanganya umma na kuua hoja kifisadi na pia kupoteza muda wafunike kombe. Ndugai hakutimuliwa bure hebu fikirieni vizuri hilo jambo
Kwa hali ilivyo sasa, je tatizo ni nani wa kuaminiwa? PCCB na CAG au Muhongo? Je ni TRA na TANESCO waliosema sehemu ya hela ya escrow ilikuwa na VAT au porof Muhongo?
Toa msimamo wako