Je, tunaweza tengeneza App shindani ya Uber/ Bolt hapa nchini?

ze farmer

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
922
Reaction score
1,822
Binafsi nina gari sometime napigia mishe za bolt/uber.

Ila hela tunayowalipa hawa jamaa ni kubwa sana.

SWALI: Hakuna watundu wa TZ wazawa wakaanzisha app zinazofanya kazi sawa na hizo? Na kama ndio hawaoni fursa? Shida nini?

Nawasilisha
 
Binafsi nina gari sometime napigia mishe za bolt/uber.
Ila hela tunayowalipa hawa jamaa ni kubwa sana...
App hii ipo nnayo na niliwai onana na Umoja wa Maderava Taxi wa Dar pale kwenye ofisi zao Mnazimmoja na pia Umoja wa Madereva Taxi Mwanza.

Walinipa kiasi cha pesa wanachopata Uber na nikakubaliana nao Kiasi walicho propose wao! Nilichogunduwq Awapo Interested in short Awataki haya mambo!

Kuna kipindi Uber zilizokuwa zinapeleka watu Airport Kipawa Madereva wake walikuwa wanakuwa harrased na wale madereva Taxi wa pale JKIA , Wale waochaji laki elfu hamsini Airport to Mbezi Beach😃.kwa upande wangu ni kuwa Hawataki mabadiliko!
 
App hii ipo nnayo na niliwai onana na Umoja wa Maderava Taxi wa Dar pale kwenye ofisi zao Mnazimmoja na pia Umoja wa Madereva Taxi Mwanza.... Walinipa kiasi cha pesa wanachopata Uber na nikakubaliana nao Kiasi walicho propose wao! Nilichogunduwq Awapo Interested in short Awataki haya mambo! Kuna kipindi Uber zilizokuwa zinapeleka watu Airport Kipawa Madereva wake walikuwa wanakuwa harrased na wale madereva Taxi wa pale JKIA , Wale waochaji laki elfu hamsini Airport to Mbezi Beach[emoji2].kwa upande wangu ni kuwa Hawataki mabadiliko!
Sasa mkuu si utoe hio app. Weka bei poa. Hawa jamaa wanalipwa hela nyingi sana sana. Sijaelewa kwa nini unasema wako harassed?
 
App hii ipo nnayo na niliwai onana na Umoja wa Maderava Taxi wa Dar pale kwenye ofisi zao Mnazimmoja na pia Umoja wa Madereva Taxi Mwanza.... Walinipa kiasi cha pesa wanachopata Uber na nikakubaliana nao Kiasi walicho propose wao! Nilichogunduwq Awapo Interested in short Awataki haya mambo! Kuna kipindi Uber zilizokuwa zinapeleka watu Airport Kipawa Madereva wake walikuwa wanakuwa harrased na wale madereva Taxi wa pale JKIA , Wale waochaji laki elfu hamsini Airport to Mbezi Beach[emoji2].kwa upande wangu ni kuwa Hawataki mabadiliko!
Tengeneza connection ya kui push mbona inawezekana Tv, radio, pia iyo app teyar ushaiweka playstore, je na appstore itapatkana?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Pia niko curious kufahamu startups nyingi za bongo zinapotea sana mana kuipeleka tu pale wasafi unaambiwa 10m [emoji23][emoji23][emoji23]. Wakati developer anadaiwa 30k ya pango.
 
Tengeneza connection ya kui push mbona inawezekana Tv, radio, pia iyo app teyar ushaiweka playstore, je na appstore itapatkana?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kupush (marketing) kwanza lazima uwe na Walaji wa product yako kama una walaji ni kazi bure! Bolt wakati wanaanza Bolt Boda boda walikuwa wanagawa Kofia na Smart phone! Boda Boda walikuwa wanaflash hizo simu na kuweka line zao au wengine kuuza hizo simu! Bolt wamekuja anza pata boda boda Bolt kwa sasa na awagawi simu wala Helmets tena.Arusha japo ni mji wa Watalii ambao huko kwao wanatumia Uber na Bolt ! Wenye Taxi Arusha na Moshi awataki sikia UBER wala Bolt! Watanzania ni watu wa ajabu inapokuja swala la mabadiliko
 
Ni kweli. Ila unaweza jitofautisha kwa kuweka bei ndogo. Itakayovutia wengi.
Niuzie mimi hio app mzee. Naona umeiweka kapuni.
 
Kuna nyingine ya warusi nayo tayari iko dar sasa hivi pia kuna linkee nayo tayari iko dar
 
Kumbe ni Warusi. Sasa gharama za advertisement wabongo nani ataweza? Hata milioni 100 ni ndogo sana kwenye marketing tu.

Gharama za kutengeneza, evaluation, testing, launching, post launch evaluation na maintenance ya mwanzo wakati hakuna faida nani atatoa. Sidhani kama hata 300M inatosha kufanya hii kazi kuleta ushindani kwa Bolt, Uber na Linkee
 
No achana na linkee kuna ya warusi ila matamgazo hayajaanza kuruka yataanza soon.
 
Hizi app serikali inatakiwa kuwa makini nazo. Jamaa wanafanya ujasusi wa kukusanya taarifa. Sidhani kama wako tu kwa ajili ya biashara.
 
Kumbe ni Warusi. Sasa gharama za advertisement wabongo nani ataweza? Hata milioni 100 ni ndogo sana kwenye marketing tu.

Gharama za kutengeneza, evaluation, testing, launching, post launch evaluation na maintenance ya mwanzo wakati hakuna faida nani atatoa. Sidhani kama hata 300M inatosha kufanya hii kazi kuleta ushindani kwa Bolt, Uber na Linkee
Hakuna faida? Bolt, uber na hizo nyingine zinawezaje kusurvive.?
 
Akipatikana mtu akafanya kile kinachofanywa na wale jamaa sampuli ya STACKRY,SHIPITO,MyUS etc atapiga pesa na ushindani hakuna.

Watumiaji wa mwisho wengi tu mikoani wangependa kununua bidhaa kwenye maduka ya DSM yanayotangaza bidhaa online ila shida ni UAMINIFU kwenye delivery hivyo wanaamua kuacha tu.

Shawishi watu waagize bidhaa kupitia wewe halafu uwatumie mkoa waliopo.
 
Hakuna faida? Bolt, uber na hizo nyingine zinawezaje kusurvive.?
Unajua Uber ilikaa miaka 10 bila faida? Hela za wawekezaji ndio zilikuwa zinatumika ila pia mbinu yao ilikuwa ni kwenda kwa wakati mmoja almost pote duniani yani walikuwa aggressive. Bongo kuna investors wa kuvumilia hata app isitengengeneze faida kwa miaka miwili tu?
 
Back
Top Bottom