Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,192
Watu wengi ninaowasoma humu na kwenye mitandao mengine[huenda hata mimi nimo] tuna tatizo la self-sabotage au mental stagnation au labda ni woga wangu tu....
Dalili zake
Uvivu wa kijamii (social apathy) Kukosa motisha ya kuchukua hatua licha ya kuona tatizo.
Mfano: Upo kwenye foleni ya benki mtu anapita foleni kisa anajuana na Mhudumu wa benki unakaa kimya unanyamaza ila utaenda kulalamikia nyumbani au kuteta na mtu aliyejirani yako.
Ugonjwa wa fitina au wivu wa kijamii [collective envy] Kupendelea kuona waliofanikiwa wakilemewa ili wengine wajione bora.
Hapa wanaoonewa zaidi vijana waliofanikiwa mfano kina Diamond, Millard Ayo watatukanwa wee... unakuta mtu anachuki na Ayo kisa tu hapost anachopenda...
Ubaguzi wa kimtazamo [confirmation bias] Kuunga mkono watu sio kwa hoja zao bali kwa sababu wanapingana na wengine waliowashinda.
Mfano : Polepole anawafuasi kwasasa sio kwasababu ya anachosimamia bali kwasababu hawa wanaomuunga mkono wameishiwa silaha za kupambana na anaopambana nao Polepole...hili lipo too psychological maana hata wanaomuunga mkono hawajajiamulua ipo unconscious...
Ukosefu wa mshikamano wa kijamii (social fragmentation) Kukosa umoja na nia ya pamoja ya kutatua matatizo.
Hii ni mifano tu...