Je, tunamhitaji Lema Arusha 2015??

Je, tunamhitaji Lema Arusha 2015??

lema hakuna kitu alichofanya arusha zaidi ya kushusha uchumi wa arusha kwa vurugu zake na maandamano na genge lake la wahuni. wana arusha tumemchoka hatumtaki tena

Mimi nafikiri ni busara kuisemea nafsi yako mwenyewe. Unaposema wana Arusha unamaanisha nini? kuna kikao chochote cha wana Arusha kilichopitisha maamuzi hayo!? Binafsi ni mwana Arusha lakini sijawahi kusikia, wala kupata tetesi juu ya kikao kilichotoa hayo maamzi na kukutuma kuyaleta jamvini. Kwa mtizamo wangu, siasa zenye usindani mkubwa kama Arusha, mtu kama Lema bado anahitajika. Si rahisi kuona kile alichokifanya, lakini walioko kwenye system wanatambua kuwa mqmbo mengi yanafanyika kwasababu ya uwepo wa huyu unayeona hafai!
 
mambo gani lema ameifanyia arusha?Act ni mbadala wa chadema arusha
 
arusha kuna wanywa viroba wengi
Ukiwa mwongo usiwe msahaulifu. Umesema wewe ni wa Arusha mara tumekuja wenye Arusha yetu unatuita wanywa viroba!! Tulia dawa ikuingie vizuri. Sisi hatutaki magamba maana akili zenu ndogo sana ona wewe ulivyo mtupu kichwani, nasikia wewe ndio kichwa sana ndio maana wanakutegemea hapa mtandaoni
 
ACT ni mkombozi wa wana arusha. sisi wana arusha mbunge wetu ajae wa arusha ni samson mwigamba
 
Ukiwa mwongo usiwe msahaulifu. Umesema wewe ni wa Arusha mara tumekuja wenye Arusha yetu unatuita wanywa viroba!! Tulia dawa ikuingie vizuri. Sisi hatutaki magamba maana akili zenu ndogo sana ona wewe ulivyo mtupu kichwani, nasikia wewe ndio kichwa sana ndio maana wanakutegemea hapa mtandaoni

wana arusha mbunge wetu ajae ni samsoni mwigamba wa chama makini ACT
 
Kawa baridi kivipi wewe mlaaniwa....???????

Ameshamaliza kazi ya kuisambaratisha CCM Arusha.......Wana-Arusha tumeshakombolewa....Jini CCM limetoweka...

Hongera Lema kwa kulitokomeza Jini CCM Atusha........
Acha kutusemea, wengine hatuendekezi huo ujinga wenu.
 
Ndoto za mchana. Haiitaji uwe na akili kubwa kijua kuwa Lema bado anakubalika sana Arusha. Unapata picha gani kwa uchaguzi wa madiwani Arusha?
Uuuuuuuwi. Lema my, my. Ni pigo ambalo Mungu ameliruhusu ili Arusha wajifunze kutochagua tena wakala kutoka kuzimu
 
unapigia jibu mstari jiulize ww unamhitaji mkeo 2015 sio lema lema kauwa ccm arusha na kanda yote ya kaskazin tunamhitaji miaka yote hapa a twn acha mambo ya ajabu
 
LEMA ameshapoteza sifa zote za kuwa mbunge wa Arusha Mjini, wana -Arusha walimchagua wakitegemea mabadiliko, pamoja na ahadi zake nyingi ambazo hajaweza kutimiza hata moja. Pili, fujo na kila aina ya vurugu ambazo zilihamasishwa na huyu bwana zimechangia sana kuishusha Arusha kiuchumi, ulizingatia Arusha ni mji wa biashara hususani utalii, Hili tu linaweza kumuondoa LEMA Arusha. Watu wengi wa Arusha ukiongea nao wanasema hawana imani tena na huyu ndugu, wanasubiri uchaguzi tu!
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/537979-mh-lema-na-chadema-acheni-ulaghai.html
 
Khaa!!!! Simple maths. Ukiwa na kundi kubwa la wajinga na walevi ni rahisi sana kupata kiongozi mjinga na mlevi
 
TUNAMSHUKURU SANA MH LEMA kwa KUITOKOMEZA KABISA CCM ARUSHA .
 
Back
Top Bottom