Je, tunamhitaji Lema Arusha 2015??

Je, tunamhitaji Lema Arusha 2015??

Warembo kama nyie hamuwezi kumbali Lema, hamuendani kabisa, nyie type yenu mrembo mwenzenu Zitto, anayehongwa kirahisi kama bamedi.

Warembo wa wapi hao mkuu....Hao ni vigagula vilivyo choka viuongo vyote vya miili yao kwa kucheza kibao kata na Vigodoro.......

.......Zitto ndo kitu gani mkuuu.....??? Maana naona umetaja hilo neno......
 
Lema akija na zile picha wanampatia maana watu wamemwona anavyoweza kujituma

Angalia usije ukahongwa na akili....Maana bia ulizohongwa ni nyingi sana....

......Hakuna cha bure duniani.........Fanya kazi dada angu..
 
wafanyabiashara w arusha wanajiunga kwa kasi sana chama makini ACT lema amewaharibia biashara zao .. mahoteli na makampuni ya utalii arusha wamepata hasara sana kutokana na vurugu zachadema

katika mtu asiyejua biashara ya utalii ni wewe. Nchi za ulaya ziwe kwenye mtikisiko wa uchumi usingizie lema. Tafakari kabla ya kuandika. Nyeupe ita nyeupe na si nyeusi
 
Arusha kama zilivyo sehemu nyingi za Tanzania elimu inatukosesha mengi..
Bado wengi wetu hatujawa na uwezo wa kuchagua kiongozi bora wa kutuwakilisha sisi na matatizo yetu bungeni na pia kusimamia rasilimali tulizonazo kwa manufaa yetu sisi!

Tulifanya kosa kuwavumilia CCM ya Mrema kwa kipindi kirefu sana tukiamini kuna amani na uchumi wa mkoa ni mzuri kupita maelezo,awamu hii tena tumefanya kosa kuchagua kiongozi wa vurugu na maandamano!
Wenye uwezo wa kugundua udhaifu wa Lema wanamchagua kutokana na mapenzi ya Chadema tu na wasio na uwezo kiakili wanamchagua wakidhani mtu anayeingia kwenye ugomvi na serikali kila mara ndo "Mandela" au mkombozi wao!

Kiongozi bora ni zaidi ya kufanya vurugu na maandamano,Lema hanaga hoja nzito zinazomatch na potential ya jiji la Arusha,ana bahati sana wakazi wa Arusha ni "vurugu oriented" ndo maana anaeleweka kwa ujinga anaoufanya na anatumia vurugu kama mtaji wake!

Mimi nasema Lema kwa Arusha HAPANA!
Chadema au chama kingine chochote chenye watu potential zaidi ya Lema tunaomba mtuletee tuwapime!
Hoja over Chama! Kama mtu anafaa hata akitoka CHAUSTA aje Tue.
Lema kapumzike aisee.
 
Lema anawanyima usingizi aliwapiga 4 0 then akawapiga 1 0 hiyo ni dalili tosha kuwa bado anakubalika mtasubiri sana
 
lema hakuna kitu alichofanya arusha zaidi ya kushusha uchumi wa arusha kwa vurugu zake na maandamano na genge lake la wahuni. wana arusha tumemchoka hatumtaki tena

mchumi mwegulu kapandisha uchumi wa iramba mpaka mabomba ya maji yanatoa maziwa..
 
Arusha kama zilivyo sehemu nyingi za Tanzania elimu inatukosesha mengi..
Bado wengi wetu hatujawa na uwezo wa kuchagua kiongozi bora wa kutuwakilisha sisi na matatizo yetu bungeni na pia kusimamia rasilimali tulizonazo kwa manufaa yetu sisi!

Tulifanya kosa kuwavumilia CCM ya Mrema kwa kipindi kirefu sana tukiamini kuna amani na uchumi wa mkoa ni mzuri kupita maelezo,awamu hii tena tumefanya kosa kuchagua kiongozi wa vurugu na maandamano!
Wenye uwezo wa kugundua udhaifu wa Lema wanamchagua kutokana na mapenzi ya Chadema tu na wasio na uwezo kiakili wanamchagua wakidhani mtu anayeingia kwenye ugomvi na serikali kila mara ndo "Mandela" au mkombozi wao!

Kiongozi bora ni zaidi ya kufanya vurugu na maandamano,Lema hanaga hoja nzito zinazomatch na potential ya jiji la Arusha,ana bahati sana wakazi wa Arusha ni "vurugu oriented" ndo maana anaeleweka kwa ujinga anaoufanya na anatumia vurugu kama mtaji wake!

Mimi nasema Lema kwa Arusha HAPANA!
Chadema au chama kingine chochote chenye watu potential zaidi ya Lema tunaomba mtuletee tuwapime!
Hoja over Chama! Kama mtu anafaa hata akitoka CHAUSTA aje Tue.
Lema kapumzike aisee.

Unamuza sana Lema ehh??? Alikupa nini aisee.....Kitu kitamu....
 
Lema mbona mburura tu. Hajui kuandika hats kaproposal....viongozi Wa CDm ni majanga tupu. Arusha ni saw a na hakuna mbunge BT majority ya watu Wa arusha wanafanana na lema
 
Hivi nilini lema alianzisha fujo kugombea changu, tuambie funjo za lema chanzo ni nini? jr unataarifa mpaka mwisho wa mwaka huu arusha itakuwa imebadilika sana...kama una akili weka ahadi za lema na ipi kaitekeleza na ipi bado, halafu tuwekee wajibu/majukumu ya mbunge... ukishindwa sema tukuwekee
 
uchumi wa arusha umeporomoka kwa kasi sana

hivi mleta maendeleo ni lema au ni wewe? Unataka lema aende kulima, kujenga barabara, kujenga hospitali n.k wakati kodi zote mnazihamishia nje ya nchi
 
Unamuza sana Lema ehh??? Alikupa nini aisee.....Kitu kitamu....

Asilimia kubwa ya wafuasi wa chadema ni wabovu wa hoja na wepesi wa kejeli na matusi..
Yale yale ya kuwasema wadhambi wenzenu wa CCM kwa kuwa wao wanatenda dhambi tofauti na zenu,ila mkumbuke tu dhambi ni dhambi

CCM wameprove failure na chadema hakina uwezo wa kusahihisha makosa yao,kwa sasa bado mkombozi wa Tanzania hajazaliwa,kuna vuguvugu tu la maslahi
 
Lema mbona mburura tu. Hajui kuandika hats kaproposal....viongozi Wa CDm ni majanga tupu. Arusha ni saw a na hakuna mbunge BT majority ya watu Wa arusha wanafanana na lema

hivi unajua bill gate hajui code lakini ni tajiri kupitia software
 
Asilimia kubwa ya wafuasi wa chadema ni wabovu wa hoja na wepesi wa kejeli na matusi..
Yale yale ya kuwasema wadhambi wenzenu wa CCM kwa kuwa wao wanatenda dhambi tofauti na zenu,ila mkumbuke tu dhambi ni dhambi

CCM wameprove failure na chadema hakina uwezo wa kusahihisha makosa yao,kwa sasa bado mkombozi wa Tanzania hajazaliwa,kuna vuguvugu tu la maslahi

hatutafuti malaika kuja kutuongoza na lema usimfananishe na matahira yaliyokaa mika 50...
 
Asilimia kubwa ya wafuasi wa chadema ni wabovu wa hoja na wepesi wa kejeli na matusi..
Yale yale ya kuwasema wadhambi wenzenu wa CCM kwa kuwa wao wanatenda dhambi tofauti na zenu,ila mkumbuke tu dhambi ni dhambi

CCM wameprove failure na chadema hakina uwezo wa kusahihisha makosa yao,kwa sasa bado mkombozi wa Tanzania hajazaliwa,kuna vuguvugu tu la maslahi

ACT ndio mkombozi wa watanzania
 
hivi mleta maendeleo ni lema au ni wewe? Unataka lema aende kulima, kujenga barabara, kujenga hospitali n.k wakati kodi zote mnazihamishia nje ya nchi

kama sio lema arusha ingekuwa kama dubai
 
Back
Top Bottom