Je tunamuhitaji huyu bwana??? Ameifanyia nini arusha??
Naomba sana kusimamishwa ubunge isije ikawa kigezo cha underachievement
nawakilisha
Lema ni chaguo la wengi na bado sana tunamhitaji Arusha mjini