Je, tunamhitaji Lema Arusha 2015??

Je, tunamhitaji Lema Arusha 2015??

Je tunamuhitaji huyu bwana??? Ameifanyia nini arusha??

Naomba sana kusimamishwa ubunge isije ikawa kigezo cha underachievement

nawakilisha

sema nafsi yako siyo kila mtu ana chuki binafsi, kuliko lema asiwepo arusha kama unavyo taka bac utaleta watoto wako wakike na mke wako tuchague mbunge kati yao
 
Lema jembe letu magamba yana haha maana arusha wana mwaga mapesa twayala halafu tunaipa kura chadema.magamba walizani wana arusha ni mazuzu wa viji senti kama mtwara wakipewa ubwabwa wamelegea huku arusha ni nchi nyengine bahna! Mwendo ni chadema kaskazini,kanda ya ziwa,kanda ya kati

Well said mkuu!
 
Tunamhitaji Lema kwa sasa zaidi ya tulivyomhitaji miaka iliyopita hapa Arusha. Tunahitaji mwaka 2015 kuikomboa Arusha yote. Hivi ACT ni mdudu gani? Nasikia eti kazaliwa huko Kigoma. Kwa Mazingira ya Arusha mdudu huyu hataweza kuishi na kuzaana hapa. Atakufa mara moja. Heri akajaribu mikoa ya Pwani na Zanzbar. Huko kunafanana kidogo na Kigoma!

ACT inakubalika sana arusha ni mkombozi wa wana arusha
 
lumumba a.k.a b7 nawashangaa sana, wanaanzisha thread halafu wanajibu wenyewe, kuna wengine wana zaidi ya ID moja, mtachoka sana wananchi wa sasa sio wa 1947, hata mkitumia mbinu gani ya uongo hamtaweza chochote. ila kwa sababu mnalipwa na ccm, endeleeni tu. sio sawa na sisi makamamnda tuliojitolea kulitetea taifa bila malipo yoyote. nilitegemea tungekuwa tunajadili kwanini nchi yetu ni maskini wakati rasilimali tunazo nyingi tu.
 
wafanyabiashara w arusha wanajiunga kwa kasi sana chama makini ACT lema amewaharibia biashara zao .. mahoteli na makampuni ya utalii arusha wamepata hasara sana kutokana na vurugu zachadema

umekata tamaa pole
 
G Lema anaonekana kuwa mwana harakati zaidi kuliko mwanasiasa. CDM anafaa kufanya kazi ya kuleta hamasa kwa vijana, kuzindua matawi zaidi ya chama; nafikiri ni mhutubiaji mzuri. Kwa habari ya ubunge, CDM inahitaji mtu makini zaidi Arusha. Hata hivyo, Arusha itabakia kuwa ngome ya CDM bila kujali nani anakuwa mbunge. Hasira ya wananchi dhidi ya CCM ndiyo inafanya CDM ionekane bora. Si uzuri wa CDM.
 
Tunamhitaji Lema kwa sasa zaidi ya tulivyomhitaji miaka iliyopita hapa Arusha. Tunahitaji mwaka 2015 kuikomboa Arusha yote. Hivi ACT ni mdudu gani? Nasikia eti kazaliwa huko Kigoma. Kwa Mazingira ya Arusha mdudu huyu hataweza kuishi na kuzaana hapa. Atakufa mara moja. Heri akajaribu mikoa ya Pwani na Zanzbar. Huko kunafanana kidogo na Kigoma!

Atastahimili tu,mbna chadema imezaliwa tengeru na katibu wake ni padri na inakubalika mikoa mingine?
 
Ngoja tuone perfomance yake KALENGA..!! Ndo tutapata picha halisi ya uwezo wake kisiasa..!!
 
lema hakuna kitu alichofanya arusha zaidi ya kushusha uchumi wa arusha kwa vurugu zake na maandamano na genge lake la wahuni. wana arusha tumemchoka hatumtaki tena
maneno hayo ukiyasema mbele ya wana Arusha lazima wakutoe baru
 
ni hivi , sisi tutamsimamisha lema halafu wewe weka wagombea watatu wa ccm kwa pamoja , tuone nani ataibuka na ushindi .
 
hana shida lema wana Arusha tunampenda sana.usije ukamtegemea mbunge ili akuletee maendeleo bali juhudi zako tu.Hata ukimweka mwingine hata kama ni CCM bado ni yaleyale tu ni bora ya Lema.

Ndiyo kauli mnazotumiaga kuwatetea wabunge wenu wa chadema kuwa maendeleo sio kazi yao wakati huohuo mkiwananga wa vyama vingine kwa hoja hizohizo kuwa hawajafanya kitu.... sasa ahadi mnatoaga za nini kwenye kampeini?
 
Lema mwenyewe kajishtukia sikuhizi kawa baridi sana.

Kawa baridi kivipi wewe mlaaniwa....???????

Ameshamaliza kazi ya kuisambaratisha CCM Arusha.......Wana-Arusha tumeshakombolewa....Jini CCM limetoweka...

Hongera Lema kwa kulitokomeza Jini CCM Atusha........
 
lema hakuna kitu alichofanya arusha zaidi ya kushusha uchumi wa arusha kwa vurugu zake na maandamano na genge lake la wahuni. wana arusha tumemchoka hatumtaki tena

Tangu lini wewe muhuni ukawa mkazi wa Arusha.......?????We kale urojo na kucheza Kigodoro au kibao kata....Arusha huijui wewe mjaalaana......

Wanawake mlio achika mna matatizo sana....
 
wafanyabiashara w arusha wanajiunga kwa kasi sana chama makini ACT lema amewaharibia biashara zao .. mahoteli na makampuni ya utalii arusha wamepata hasara sana kutokana na vurugu zachadema

Inajitutumua kama unakunya jiwe wewe muhuni.......

Jitunze uolewe kwa mara ya pili....Ila wacha tabia ya kukata mauno kwenye kigodoro utaachika tena....
 
Uchumi wa jimbo hautegemei mbunge unategemea sera za nchi zinagawanya rasilimali za nchi kwa usawa?.nenda mtwara,dodoma
 
Back
Top Bottom