Je, tuna Watu Jeuri (Kauzu) kama akina Nancy Pelosi katika Serikali (Tawala) zetu za Afrika hii ya sasa?

Tatizo huku kwetu Afrika wanafikiria kupitia matumbo yao na si akili zao. Ogopa kuona kiongozi anakata viuno kwenye halaiki ya watu ili tu amfurahishe aliye kwenye hatamu.
Ukijumlisha na viongozi wetu kuwa vimeo wa afya, nini kuchana hotuba, watu wanatukaniwa shangazi zao na bado wanacheka. Kulazwa India raha ndugu ukilinganisha na Mloganzila.
 
Akili yako ndogo sana wewe, kwako wewe demokrasia ni Trump kuondolewa madarakani, kwa hoja za kipuuzi za huyo mwanamke asie na mume?
Marekani wanajua, kama Clinton hakuondolewa kwa kufanya mapenzi ofisini, basi ujue Trump hawezi kuondolewa hata siku mmoja.
Hata hapa linawezekana kama spika angekuwa wa upinzani, ni sawa na wewe hapo upewe wazazi wawili mmoja ni baba yako na mwingine siyo baba yako ni yupi utamuheshim zaidi kuliko mwingine? Tusubili maamuzi ya senet juu ya trump ndo tutajua kama watamtosa basi tutajua wana demokrasia lakini wakimbakiza hawatakuwa na tofauti na hapa kwetu.
Kumbuka hata hapa kwetu mwiguru aliwaki kukanyaga taarifa ya upinzani, na wao pia hukashifu taarifa za serikari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Spika wa Bunge Marekani, Nancy Pelosi amechana hotuba ya Rais Donald Trump muda mfupi baada ya kumaliza kuisoma wakati akihutubia Bunge kwa kile kilichoelezwa kuwa kiongozi huyo wa Marekani hakumpa mkono wakati anamkabidhi nakala.

Chanzo Habari: Mwananchi Online

Hivi Yule Spika Mmoja hivi wa Afrika Mashariki ‘ Pua Kitenesi ‘ ana hata ‘ Ubavu ‘ kwa Kumuiga Mwanamama ‘ Shujaa ‘ Spika Pelosi pale na Yeye Siku moja ikitokea akaonyeshwa ‘ dharau ‘ kama aliyofanyiwa Spika Mwenzake kwa Rais Mwalimu Mkemia?

Naamini huenda hapa kukawa na Somo zuri, jema na kubwa sana tu Kwake Spika ‘ Pua Kitenesi ‘ wa Afrika Mashariki na Kati.

Nawasilisha.
Hahahahaha imebidi ni like tu maana pua kitenesi kamwe hatoweza kwake hili ni jambo gumu ni kama movie ya kutisha hata kusikia tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja ya matukio ya kijinga na kitoto kabisa tunayoanza nayo mwaka huu hili ni moja wapo! Kwahiyo kwenu wazee wa kulinganisha kila kitu hili nalo ni la kuiga?
 
Maspika wengine wananguvu za kuwaonea wabunge wa upinzani tu. Hawashuhuliki na uhuru wa bunge wanashuhulika na kuua demokrasia
Spika wa Bunge Marekani, Nancy Pelosi amechana hotuba ya Rais Donald Trump muda mfupi baada ya kumaliza kuisoma wakati akihutubia Bunge kwa kile kilichoelezwa kuwa kiongozi huyo wa Marekani hakumpa mkono wakati anamkabidhi nakala.

Chanzo Habari: Mwananchi Online

Hivi Yule Spika Mmoja hivi wa Afrika Mashariki ‘ Pua Kitenesi ‘ ana hata ‘ Ubavu ‘ kwa Kumuiga Mwanamama ‘ Shujaa ‘ Spika Pelosi pale na Yeye Siku moja ikitokea akaonyeshwa ‘ dharau ‘ kama aliyofanyiwa Spika Mwenzake kwa Rais Mwalimu Mkemia?

Naamini huenda hapa kukawa na Somo zuri, jema na kubwa sana tu Kwake Spika ‘ Pua Kitenesi ‘ wa Afrika Mashariki na Kati.

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenzetu wanafanyiana dharau za waziwazi na yanaisha hapohapo, atakayeshinda kwa sheria ama kwa hoja ndiye mshindi and its over. Lakini sisi waafrika mkitoka hapo haijalishi sheria imefuatwa ama lah kitakachofuata ni kuanza kuwindana kama wanyama wa mwitu.

Kwa mfano kesho kama Trump atapeleka hoja iliiyo na maslahi ya nchi, yule mama atamsifu bila hofu yoyote ile.

Hii ndiyo tofauti kubwa iliyopo kati ya Mzungu na Mwafrika.
 
Spika wa Bunge Marekani, Nancy Pelosi amechana hotuba ya Rais Donald Trump muda mfupi baada ya kumaliza kuisoma wakati akihutubia Bunge kwa kile kilichoelezwa kuwa kiongozi huyo wa Marekani hakumpa mkono wakati anamkabidhi nakala.

Chanzo Habari: Mwananchi Online

Hivi Yule Spika Mmoja hivi wa Afrika Mashariki ‘ Pua Kitenesi ‘ ana hata ‘ Ubavu ‘ kwa Kumuiga Mwanamama ‘ Shujaa ‘ Spika Pelosi pale na Yeye Siku moja ikitokea akaonyeshwa ‘ dharau ‘ kama aliyofanyiwa Spika Mwenzake kwa Rais Mwalimu Mkemia?

Naamini huenda hapa kukawa na Somo zuri, jema na kubwa sana tu Kwake Spika ‘ Pua Kitenesi ‘ wa Afrika Mashariki na Kati.

Nawasilisha.

We dogo umenichekesha sana siku ya leo, yani unamuita ndugai ni pua kitenesi?? Lol nadhani dispilini yako ni zerooo kabisa.
 
Back
Top Bottom