Je, tuna uhakika kuwa Usalama wa Taifa ni Wazalendo?

Exactly ukipata chance ni kutengeneza maisha ya kizazi chako kisiwe omba omba
Ngoja niishie hapa mwanasheriawangu yupo masomoni😀
Utengeneze maisha ya kizazii chako Kwa kuiba pesa ya WalaLa hoi walipa Kodi watanzania utafika mbinguni umechoka Sana wewe na kizazii chako 😀
 
Kuna mambo nafikiria ikiwa kweli usalama wa Taifa ni wazalaendo wa Tanzania.

Je Usalama wa Taifa hawawezi kudhibiti ufisadi unaofanyika? au na wao wanashiriki?

Je usalama wa taifa hawawezi kuithibiti serikali ikiwa inakwenda kinyume na maadili ya kazi yake au wao ndio serikali

Je usalama wa Taifa Inalinda kweli maslahi ya nchi au inalinda viongozi wa serikali?

Je ni kweli watumishi wa usalama hupatikana kutokana na uwezo wao kuzingatia uzalendo wao? au mjomba na shangazi wanapewa nafasi tu.

Nahisi tunapaswa kubadilika

Kati ya wapigaji wazuri hao ni wa kwanza au wa pili kwenye ranks...Madili yote makubwa lazima kuwe na mikono yao.
 
Kuna mambo nafikiria ikiwa kweli usalama wa Taifa ni wazalaendo wa Tanzania.

Je Usalama wa Taifa hawawezi kudhibiti ufisadi unaofanyika? au na wao wanashiriki?

Je usalama wa taifa hawawezi kuithibiti serikali ikiwa inakwenda kinyume na maadili ya kazi yake au wao ndio serikali

Je usalama wa Taifa Inalinda kweli maslahi ya nchi au inalinda viongozi wa serikali?

Je ni kweli watumishi wa usalama hupatikana kutokana na uwezo wao kuzingatia uzalendo wao? au mjomba na shangazi wanapewa nafasi tu.

Nahisi tunapaswa kubadilika
Hilo ni genge la wahuni wachache wanaolamba asali.

Haiwezekani hela za wananchi zinaibiwa kila mwaka mpaka CAG afanye ukaguzi hela tiyari zishaibiwa na hazirudi tena.

Hawa jamaa sijui huwa wanafanya kazi gani? Intelijensia za wenzetu zimejikita kwenye kulinda uchumi ila hii ya kwetu imejikita kwenye siasa na kulinda wanasiasa wahuni.
 
usalama huu wa fiisiiemu uliwahi lini kuwa na uzalendo wala uchungu na maisha ya watanganyika? kuna vitu wala hutakiwi kuuliza majibu yake yako wazi kabisaaa ni obvious
 
Kuna mambo nafikiria ikiwa kweli usalama wa Taifa ni wazalaendo wa Tanzania.

Je Usalama wa Taifa hawawezi kudhibiti ufisadi unaofanyika? au na wao wanashiriki?

Je usalama wa taifa hawawezi kuithibiti serikali ikiwa inakwenda kinyume na maadili ya kazi yake au wao ndio serikali

Je usalama wa Taifa Inalinda kweli maslahi ya nchi au inalinda viongozi wa serikali?

Je ni kweli watumishi wa usalama hupatikana kutokana na uwezo wao kuzingatia uzalendo wao? au mjomba na shangazi wanapewa nafasi tu.

Nahisi tunapaswa kubadilika
Ni swala la muda tuu,niliona milima ya uluguru nikajiuliza hivi sniper akiwa pale club gymcana hawezi fanya yake
 
Back
Top Bottom