imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 46,674
- 71,041
Mbavu zangu 🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂sio usalama ni mwandishi njaa
Mbavu zangu 🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂sio usalama ni mwandishi njaa
Rais ndiyo mkuu wa nchi na ndio consumer wa kwanza wa taarifa muhimu za vyombo vya ulinzi na usalama.Kuna mambo nafikiria ikiwa kweli usalama wa Taifa ni wazalaendo wa Tanzania.
Je Usalama wa Taifa hawawezi kudhibiti ufisadi unaofanyika? au na wao wanashiriki?
Je usalama wa taifa hawawezi kuithibiti serikali ikiwa inakwenda kinyume na maadili ya kazi yake au wao ndio serikali
Je usalama wa Taifa Inalinda kweli maslahi ya nchi au inalinda viongozi wa serikali?
Je ni kweli watumishi wa usalama hupatikana kutokana na uwezo wao kuzingatia uzalendo wao? au mjomba na shangazi wanapewa nafasi tu.
Nahisi tunapaswa kubadilika
sawa wasiseme haya yanayotokea wao hayawahusu hawayaoni? mfano mdogo ripoti ya cag makosa yanafanyika kwa kiasi kikubwa wao wapo wapi? Great thinkers wanazidiwa akili kuibiwa wazi waziRais ndiyo mkuu wa nchi na ndio consumer wa kwanza wa taarifa muhimu za vyombo vya ulinzi na usalama.
Hakuna hata siku moja utaona uongozi wa TISS wamejitokeza kujieleza kwamba wamesema hili na lile. Lakini wanafanya na wanashauri.
sio kweli wapo watu ambao wana uchungu na hali ilivyo, Ni wazalendo, kama wapo wanaolia sababu simba na yanga kufungwa watakosaje Watakaolia kwa Tanzania kuumia?Tatizo na wenyewe ni watu ,wanaangalia upepo unaelekea wapi.Hata ukiwa ni wewe huwezi pingana na mfumo unaokupa mema ya nchi , siku ukibahatka hutaongea lugha hii,
Aliyenunulika Kwa pesa madafusio usalama ni mwandishi njaa
Exactly ukipata chance ni kutengeneza maisha ya kizazi chako kisiwe omba omba
Ngoja niishie hapa mwanasheriawangu yupo masomoni
😂😂😂Kuna harufu ya kulala lockup kma hauna mwanasheria mkongwe 😂😂😂
Wee jichanganyee shangaziii,Kuna harufu ya kulala lockup kma hauna mwanasheria mkongwe
😂😂😂Wee jichanganyee shangaziii,
Polisi Wala Rushwa Wakubw na Wapiga MadiriKuna mambo nafikiria ikiwa kweli usalama wa Taifa ni wazalaendo wa Tanzania.
Je Usalama wa Taifa hawawezi kudhibiti ufisadi unaofanyika? au na wao wanashiriki?
Je usalama wa taifa hawawezi kuithibiti serikali ikiwa inakwenda kinyume na maadili ya kazi yake au wao ndio serikali
Je usalama wa Taifa Inalinda kweli maslahi ya nchi au inalinda viongozi wa serikali?
Je ni kweli watumishi wa usalama hupatikana kutokana na uwezo wao kuzingatia uzalendo wao? au mjomba na shangazi wanapewa nafasi tu.
Nahisi tunapaswa kubadilika
😅😅😅hawajitangazi ila jamaa ni mzalendo sana.Pascali Mayalla nae ni Usalama?
Kwanini?Hamna wazalendo pale !!