Je, tuna uhakika kuwa Usalama wa Taifa ni Wazalendo?

Kahtan Ahmed

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
755
468
Kuna mambo nafikiria ikiwa kweli usalama wa Taifa ni wazalaendo wa Tanzania.

Je Usalama wa Taifa hawawezi kudhibiti ufisadi unaofanyika? au na wao wanashiriki?

Je usalama wa taifa hawawezi kuithibiti serikali ikiwa inakwenda kinyume na maadili ya kazi yake au wao ndio serikali

Je usalama wa Taifa Inalinda kweli maslahi ya nchi au inalinda viongozi wa serikali?

Je ni kweli watumishi wa usalama hupatikana kutokana na uwezo wao kuzingatia uzalendo wao? au mjomba na shangazi wanapewa nafasi tu.

Nahisi tunapaswa kubadilika
 
IMG_6519.jpg
 
Hakuna UZALENDO katk kundi la watu wengi.. hata enzi za Miaka hiyo Yesu alisalitiwa na machawa wake.

Hakuna nmUZALENDO ktk kundi la watu. Lazima awepo mchomaji tu
 
Uzalendo uliondoka na Nyerere mwaka 1999.

kwa sasa, our motto ni: kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake
Tatizo sio kila mmoja anaweza kula chumo la haram, bora nikose niongee kuliko kula isiokua haki yangu
 
Back
Top Bottom