Kahtan Ahmed
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 758
- 473
Kuna mambo nafikiria ikiwa kweli usalama wa Taifa ni wazalaendo wa Tanzania.
Je Usalama wa Taifa hawawezi kudhibiti ufisadi unaofanyika? au na wao wanashiriki?
Je usalama wa taifa hawawezi kuithibiti serikali ikiwa inakwenda kinyume na maadili ya kazi yake au wao ndio serikali
Je usalama wa Taifa Inalinda kweli maslahi ya nchi au inalinda viongozi wa serikali?
Je ni kweli watumishi wa usalama hupatikana kutokana na uwezo wao kuzingatia uzalendo wao? au mjomba na shangazi wanapewa nafasi tu.
Nahisi tunapaswa kubadilika