Je tuhahitaji tena Ze Utamu?

Status
Not open for further replies.
Kitendo cha ze utamu kumchafua kiongozi wa nchi hakikubaliki.kwa mara ya kwanza nimeangalia web hiyo baada ya kuambiwa na rafiki zangu.ni upuuzi usiokubalika na nadhani ni wakati muafaka watanzania tukatae udhalilishaji huu.

Nina imani state resources zitatafuta namna ya kukomesha upuuzi huu.
 
Ingekuwa busara kama huruma hii pia tungeionyesha kwa wale wengine ambao walipatwa kuhusishwa na yaliyohusishwa kwa rais pia, lkn NIMESHANGAZWA MNO tena SANA kuona kwamba huruma hii ipo kwa watu wenye majina tu. Je kufuata maadili NI LAZIMA KUWE KWA WATU WENYE MAJINA/VYEO TU ?

Kada Mpinzani,
siyo kwamba watu wenye majina tu,habari zingine zinahusu watu tusiowafahamu na inawezekana ni tabia yao,Kuna wengine wasio na majina ila waliweza kutetewa.Mzee Mwanakijiji aliwatetea wale mabinti wa St. Augustine na hawakuwa na majina mbona hili haukuliona?

Mhe Rais tunammfahamu vyema,na siyo tabia yake,inajenga picha gani kwa vijana watanzania,watoto wetu?Think twice Kada!

Inawesekan tulikosea kwa kutowatetea wengine,ila ni kwamba hatukufanya hivyo sababu hatuwafahamu ila kwa hili la Rais,A person which we know NASEMA HAPANA
 
swala sio mwakjj kuwatetea akina nsia, je ww uliwatetea ? YES nilifikiria mara mbili. Je katika historia ya zeutamu, ni hao tu watoto wa st. augustine ndio waliochafuliwa ? inakuwaje na upuuuzi unaoandikwa na magazeti ya shigongo ? iweje serikali inayakalia kimya ? au kwa sababu shigongo ni mjumbe (nadhani) katika umoja wa vijana ccM ?

kama maadili yaanzie hapa hapa nyumbani tz kuanzia ktk haya magazeti !

can you count the cost of destruction done by magazeti ya shigongo ? COUNTLESS, did you speak about ? NO

sasa sio kama naunga mkono zeutamu alichofanya ni kizuri, hapana, LAKINI mawazo yetu yasiishie tu pale kwa watu maarufu, na usimtumie mwakjj kwa kisingizio kwamba aliwatetea, JE HUYO MWAKJJ ANGEAMUA KUKAA KIMYA ? je wewe UNGEWATETEA ?? lets start making differences within ourselves to make a difference in other people's lives !

ZEUTAMU AKAMATWE NA SHERIA ZIFUATE MKONDO WAKE!
Asante mzazi !
 
.........duh ebwanee hao UWT wapo hivi kweli na hao wanao jiita intelejinsia vp hawajaamuka bado........nimechungulia mmmh hakufai hali ya hewa imechafuka.

watu wa UWT hawna wataalam hasa wa mambo ya IT na ni mageni kwao,labda waombe msaada kwa mashirika kama CIA na FBI au KRA!

Lets wait and see,Mwanakijiji nimarudia tena kusoma makala yako and it has some meaning na ni ujumbe tosha na nadhani watanzia hapa baada ya hili
 
swala sio mwakjj kuwatetea akina nsia, je ww uliwatetea ? YES nilifikiria mara mbili. Je katika historia ya zeutamu, ni hao tu watoto wa st. augustine ndio waliochafuliwa ? inakuwaje na upuuuzi unaoandikwa na magazeti ya shigongo ? iweje serikali inayakalia kimya ? au kwa sababu shigongo ni mjumbe (nadhani) katika umoja wa vijana ccM ?

kama maadili yaanzie hapa hapa nyumbani tz kuanzia ktk haya magazeti !

can you count the cost of destruction done by magazeti ya shigongo ? COUNTLESS, did you speak about ? NO
nimeipenda hii kada......ndio maana naona huyu gembe mnafiki tu hana lolote....
 
swala sio mwakjj kuwatetea akina nsia, je ww uliwatetea ? YES nilifikiria mara mbili. Je katika historia ya zeutamu, ni hao tu watoto wa st. augustine ndio waliochafuliwa ? inakuwaje na upuuuzi unaoandikwa na magazeti ya shigongo ? iweje serikali inayakalia kimya ? au kwa sababu shigongo ni mjumbe (nadhani) katika umoja wa vijana ccM ?

kama maadili yaanzie hapa hapa nyumbani tz kuanzia ktk haya magazeti !

can you count the cost of destruction done by magazeti ya shigongo ? COUNTLESS, did you speak about ? NO

Kada,

sigongo tulishamjadili hapa,na sijui kwanini sheria ya magazeti bado ni ile ya mwaka 1796.sheria zetu ndiyo bado hazijaweza kuendana na Khali halisi ya mazingira tuliyomo.Hata juzi yule waziri wa nchi aksema nyaraka za siri zinalindwa na sheria ya mwaka 1972?give me a break!

Kuna tatizo kubwa ambalo hatulioni na siye tunaujaribu kutibu dalili tu za ugonjwa wenyewe badala ya kutibu ugonjwa wenyewe!Tunapinga hili ila ni fundisho kwa wao kujadili sheria zilizopo!

Kuhusu kuwateea kina sia,sikuona haja ya kufanya hivyo baada ya Mzee Mwanakijiji kufanya hivyo.Zaidi mie niliunga mkono tu!
 
swala sio mwakjj kuwatetea akina nsia, je ww uliwatetea ? YES nilifikiria mara mbili. Je katika historia ya zeutamu, ni hao tu watoto wa st. augustine ndio waliochafuliwa ? inakuwaje na upuuuzi unaoandikwa na magazeti ya shigongo ? iweje serikali inayakalia kimya ? au kwa sababu shigongo ni mjumbe (nadhani) katika umoja wa vijana ccM ?

kama maadili yaanzie hapa hapa nyumbani tz kuanzia ktk haya magazeti !

can you count the cost of destruction done by magazeti ya shigongo ? COUNTLESS, did you speak about ? NO

sasa sio kama naunga mkono zeutamu alichofanya ni kizuri, hapana, LAKINI mawazo yetu yasiishie tu pale kwa watu maarufu, na usimtumie mwakjj kwa kisingizio kwamba aliwatetea, JE HUYO MWAKJJ ANGEAMUA KUKAA KIMYA ? je wewe UNGEWATETEA ?? lets start making differences within ourselves to make a difference in other people's lives !

ZEUTAMU AKAMATWE NA SHERIA ZIFUATE MKONDO WAKE!
Asante mzazi !

Bwana we, hata hapa hapa JF yameandikwa mangapi ambayo ni mabaya zaidi na ya kumdhalilisha Kikwete kushinda hata hiyo picha kanjanja ya utamuz.....mie nashangaa, unafiki mtupu!!
 
Hata siku moja sitaweza kujadili his private affairs, that will make me cheap like bidhaa za Yeboyebo kutoka China. I hate to be cheap to avoid being labeled "Cheap mind discussses people..."
acha zako wewe na hapa unajadili nini?
 
Kada,

sigongo tulishamjadili hapa,na sijui kwanini sheria ya magazeti bado ni ile ya mwaka 1796.sheria zetu ndiyo bado hazijaweza kuendana na Khali halisi ya mazingira tuliyomo.Hata juzi yule waziri wa nchi aksema nyaraka za siri zinalindwa na sheria ya mwaka 1972?give me a break!

Kuna tatizo kubwa ambalo hatulioni na siye tunaujaribu kutibu dalili tu za ugonjwa wenyewe badala ya kutibu ugonjwa wenyewe!Tunapinga hili ila ni fundisho kwa wao kujadili sheria zilizopo!

Kuhusu kuwateea kina sia,sikuona haja ya kufanya hivyo baada ya Mzee Mwanakijiji kufanya hivyo.Zaidi mie niliunga mkono tu!

SAWA hiyo ni vizuri kwa kufahamu kwamba akina nsia hawakutendewa haki, hiyo nakubaliana na wewe ! Je uliendelea tena kuangalia huo mtandao ? je hukuona watu wengine pia wakichafuliwa ? ulichukua hatua gani ? kama uliona wanaonewa mbona hukuchukua hatua yoyote HADI hivi sasa mh. rais kachafuliwa ndo unayaongelea ?
Kama sijakosea kutokana na maelezo hapo juu kuhusiana na sheria ya magazeti, unasema lawama ielekezwe kwa serikali, na nikiangalia hivi karibuni nimesoma mahala tofauti tofauti kuhusiana na hilo na pia pamoja na maadili ya magazeti ya hapa nyumbani, MARA LEO VUU WAMEMUWEKA MH. RAIS, sasa hapo ndipo ninapojiuliza CAN THIS BE A WAKE UP CALL KWA VIONGOZI WETU NYUMBANI baada ya kusoma hii mitiririko inayohusu maadili ktk magazeti ya nyumbani na serikali kwamba sheria za magazeti zibadirishwe? AM JUST CURIOUS!!

Neways tuyaache hapa mzazi, nimekuelewa, na nadhani utakuwa umenielewa. tuache wengine wachangie michango yao pia as well. Thnks.
 
heshima mbele!tusiige utamaduni ambao hatukuwa nao hapo mwanzo.Inasikitisha kuona hii blog ya ze utamu inaendeleza libeneke la kuchafua watu sasa mpaka wamefikia hatua ya kumchafua Rais wa nchi!!!!!najiuliza maswali mengi ni kwamba hakuna wa kuzuia hili ?hakuna sheria yoyote ya nchi inayokataza uchafuzi unaofanywa na media!!!???Nampa pole mh.Rais pamoja na familia yake,lakini ni wakati muafaka sasa serikali kufatilia hili jambo na kufika muafaka!!
 
sigongo tulishamjadili hapa,na sijui kwanini sheria ya magazeti bado ni ile ya mwaka 1796.sheria zetu ndiyo bado hazijaweza kuendana na Khali halisi ya mazingira tuliyomo.Hata juzi yule waziri wa nchi aksema nyaraka za siri zinalindwa na sheria ya mwaka 1972?give me a break!
unafikiri kwa sheria zetu mnaweza kukamata na kumfungulia mashtaka mmiliki wa web ile? na kwa kosa gani?
 
SAWA hiyo ni vizuri kwa kufahamu kwamba akina nsia hawakutendewa haki, hiyo nakubaliana na wewe ! Je uliendelea tena kuangalia huo mtandao ? je hukuona watu wengine pia wakichafuliwa ? ulichukua hatua gani ? kama uliona wanaonewa mbona hukuchukua hatua yoyote HADI hivi sasa mh. rais kachafuliwa ndo unayaongelea ?

Neways tuyaache hapa mzazi, nimekuelewa, na nadhani utakuwa umenielewa. tuache wengine wachangie michango yao pia as well. Thnks.
nimekusoma mjomba.......
 
Jamani nimeiona hiyo picha, ni chafu. Nataka tu kufahamu kuwa hawa intelligence wanafanya nini?? Sasa nitaona kama hawatamkamata huyo owner wa hii blog chafu ambayo imetufanya wazazi tuwe na presha kuhusu watoto wetu. This is too much. Hatuwezi kumchafua mkuu wa nchi kwa kuunganisha mapicha machafu. Tujaribu kutumia technology inavyostahili. Kumbe basi hata picha nyingi za waathirika wa Ze ni za kuchonga tu. Shame on you the owner of this destructive blog!!!! I believe kuanzia sasa kuna kitu kitafanyika kuhusu huyu fedhuli Ze.

Jamani hakuna mwenye kufahamu techologia advanced ya hizi blog then afanye block ya hii Ze takataka?? I wishi ningekuwa mtaalam wa hii teknolojia ningezipiga storm blog zote za uchafu.
 
Hata kama, huu ni uzalilishaji wa hali ya juu, Haiwezekani, hata ukiwa tuna uhuru wa kutoa maoni, is too much now.

Tunaelekea pabaya ikiwa hatua za kudhibiti hali hii hazitaendelea. JK mwenyewe amekuwa mzito sana wa kuchukua hatua na maamuzi hata pale jambo lenyewe linapofikia hatua mbaya, na hata akichukua hatua hatua anakuwa too light.

Nadhani sasa kwa vile wameanza kumchokonoa mwenyewe atastuka.
 
nimekusoma mjomba.......

THIS IS A BILLION DOLLAR QUESTION !!

Kwa wale waliokuwepo hapa ukumbini nadhani mwaka wa jana, MNAKUMBUKA ilisemwa kwamba kuna picha ya JK hotelini akifanya nini ?? Mnakumbuka ni akina nani waliosema hayo ? Je mlishangaa kwa nini hawa watu got away with it ? Mbaya zaidi picha "sidhani" kama walikuwa nayo ! Je alitendewa vyema mh. rais pale iliposemekana kulikuwa na picha yake akiwa hotelini na **??

Its as if am connecting the dots, but the dots connect themselves on this one!

Au ndio kusema watanzania ni wepesi wa kusahau waungwana ?
 
Mwaka wa juzi ule sheikh wangu, na huko ndiko mimi nilipokuwa naelekea....utamu wametoa idea ya kumdhalilishwa Muungwana ktk website hii, kila linaloongewa hapa watu kujifanya wapo outraged na hii kitu ni uzandiki mtupu!!
 
THIS IS A BILLION DOLLAR QUESTION !!

Kwa wale waliokuwepo hapa ukumbini nadhani mwaka wa jana, MNAKUMBUKA ilisemwa kwamba kuna picha ya JK hotelini akifanya nini ?? Mnakumbuka ni akina nani waliosema hayo ? Je mlishangaa kwa nini hawa watu got away with it ? Mbaya zaidi picha "sidhani" kama walikuwa nayo ! Je alitendewa vyema mh. rais pale iliposemekana kulikuwa na picha yake akiwa hotelini na **??

Its as if am connecting the dots, but the dots connect themselves on this one!

Au ndio kusema watanzania ni wepesi wa kusahau waungwana ?
naikumbuka ile mwanakijiji na mwafrika wa kike walisema wana picha ya namna hio.....ndio maana nasema tuanze sisis wenyewe hapa JF......
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom