- Mkuu PM, with all due respect as a nation tusirihusu au kushauri hizi tabia chafu kutumika katika jamii yetu kama fimbo ya ku-deal na marekebisho ya mapungufu yetu kisiasa, kwa sababu ukisha yakubali haya basi hakutakuwa na fine line tena na halitakuwa ni taifa tena, hapana tusikubali hizi tabia katika jamii yetu, sio yote ya wazungu ni mazuri.
Respect.
FMES
Si kama haiwezekani kuiweka chini Ze Uchungu, hapana... Rahisi sana na ndo maana pamoja na kwamba mwanzoni ilikuwa chini ya Google (ambao wanaheshimika kwa security) ilipigwa chini na kuondolewa data zake zote.Hivi hatuna Napster?(Computer genius/Hacker)"check spelling". ambaye anaweza kucheza na huyu mtu akamuingilia mpaka kwenye PC yake akamuingizia virus?.
Si kama haiwezekani kuiweka chini Ze Uchungu, hapana... Rahisi sana na ndo maana pamoja na kwamba mwanzoni ilikuwa chini ya Google (ambao wanaheshimika kwa security) ilipigwa chini na kuondolewa data zake zote.
Lakini ilikuwa ni kazi bure kwani serikali yetu kila kitu inataka kifanyike BURE na tena kwa risks zako!
Pia, haipendezi kuchukua maamuzi ya ku-hack kitu ambacho watu wengi (sina hakika) wanaelekea kuwa na mapenzi nacho kwani unakuwa unawakosesha raha yao.
Kama imewezekana awali, itashindikana sasa? Tuwaachie serikali tuone kama maamuzi ya kuamuru ISP wa Tz ku-block itasaidia walau.
Itaniuma endapo mwana JF mmojawapo atachafuliwa kule... Nawapenda nyote na nisingependa kuona mnasingiziwa wala kuchafuliwa na Ze Uchungu.
Nilipoona wamemgusa Salva, nikajua JK haupiti hata mwezi... I was damn right!

Ume-sound kama upo sober kwa zaidi ya wiki......POINT!π
- Lakini huwezi fanya haya mambo China, au wao wana system tofauti ya internent?
FMES!
There you are!!!!!!!!!!!!!!!
thread hii mpaka sasa imechangiwa na watu 289 ni namba kubwa ndani ya siku 2, kuna swali najiuliza sipati jibu, acha nisiulize! sio kawaida sana!
Kulikoni kiongozi kuwekwa ze utamu? Je ni kweli anafanya haya au software zao?
- Lakini huwezi fanya haya mambo China, au wao wana system tofauti ya internent?
FMES!
There you are!!!!!!!!!!!!!!!
tunapenda sana visingizio, wakati tuna mifano ya walioshinda au kudhibiti haya mambo hata kama sio kwa silimia 1000, lakini kama wameshinda kwa asilimia 99 then ni washindi. China pamoja na wingi wao 1.4bilioni, wameweza sana, sisi je tulio milioni 40??
viongozi wamelala! hakuna anayejali!
thread hii mpaka sasa imechangiwa na watu 289 ni namba kubwa ndani ya siku 2, kuna swali najiuliza sipati jibu, acha nisiulize! sio kawaida sana!
Mkuu,
Umenifanya mwili usisimke, yaani kabisa unafagilia udikteta wa serikali ya China?? Mmmh!π
Hujanywa wewe leo eeeh? Maana unaongea na kueleweka...
Hii ndio catch-22: kutokemea kitendo cha zeutamu ni sawa na kukisapoti.Lakini kwa kukemea hapa hadharani,ndio virusi vya tovuti hiyo vimesambaa kwa kasi zaidi.
Japo naafiki kuwa freedom of expression ina mipaka yake,na japo naamini kuwa si uungwana ku-photshop picha ya rais kwa uchafu wa namna hiyo,lakini nadhani tuepuke matabaka.Picha husika imewekwa pale once,lakini sijui kunda ndoa,engagements,friendships ngapi zimeshavunjika kutokana na picha au habari zao kuwekwa kwenye tovuti hiyo.Unfortunately,reaction haikuwa kubwa kama hii.Whether ni JK,muuza mitumba pale Manzese,mwanafunzi wa St Augustine au IFM,au yeyote yule,kama amewekwa picha ambayo jamii haiafikiani nayo basi kelele ziwe kubwa na huenda zikasaidia kukomesha uchafu wa namna hiyo.