demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,250
- 15,116
Jana kwenye tuzo za TFF nilipata nafasi ya kupiga stori na dogo Yusuph.
Huyu dogo, kama wengi mnavyo fahamu kuwa na mtoto wa shabiki wa zamani wa Simba SC.
Katika kupiga story mbili tatu nikagundua kuwa dogo ana matamanio sana ya kuisukuma Azam FC ifike mbali. Ila amekuwa akilalamika pakubwa kuhusu watendaji.
Aidha licha ya Kudai kuwa “Bakhressa Group Of Companies” ina bajeti finyu katika kuendesha klabu bado wanayo nafasi ya kutosha kushindana katika ligi.
Dogo akajaribu kunipa stori fupi ya mpango wake wa muda mrefu na muda mfupi wa klabu ya Azam FC.
Akadai kuwa amekuwa mbali sana na shughuli za uendeshaji wa klabu na hivi sasa amerudi kwenye usikani ili kisimamia kila jambo. Aidha amedai kuwa atahakikisha bajeti ya klabu inatanuliwa ili kuwa nanushindani sawia na simba na yanga.
Mona kati ya mipango yake ya muda mrefu ni kuhakikisha Azam FC anatwaa tajinla Ligi Kuu si chini ya mara 2 katika misimu 8 ijayo.
Maswali ya kujiuliza:
Kumekuwa na mijadara humu jukwaani kuwa Mo aiache Simba ili apewe Bakhressa. Mnauhakika Dogo Yusuph ana mpango huo wa kuidhamini Simba?
Je hata kama Mzee Bakhresa mwenyewe ni shabiki wa Simba. Je kipi kimebadilika ambacho kilimfanya aachane na kuifadhili Simba na aanzishe Klabu yake?
Je, akirudi Simba Incase ikiwezekana (ila sote tunajua uwezekano ni finyu sana)..vipi kuhusu mustakabali wa klabu yake Azam FC?
Kwamba anaweza kudivert rasilimali pesa kwenye klabu 2 tofauti na zote zikafanya vizuri?
Je, Bakhresa atakuwa tayari kutanua bajeti kwa ajili ya soka mara mbili zaidi ya sasa? Titambue kuwa alipunguza bajeti hata ikashindikana kuwabakiza wakina Bocco na Manula.